Naboti hii si scenario ni kitu cha kutunga.tutumue hayo najibu ya awali na ya sasa.tutakusaidia majibu vizur
Mkuu haya mambo yapo aisee!!, ule uzi wa jamaa anaitwa decemption niliusoma bt ckuwa naamini sana, bt kwa bahati mbaya au nzuri ndani ya siku c Nyingi nimekuja kushuhudia kutoka kwa mhusika;
Ni hivi, kuna familia (baba, mama na mtoto wao mdogo kabsa) walikuwa wamepima na wote kugundulika kuwa ni waathirika, baada ya muda kupita(kama mwaka) walirudi hosp. Kupima ili Waanzishiwe dawa, baada ya kupima baba na mama bado walikuwa +ve, bt mtoto _ve, hawakuamini,, wazazi wale walianzishiwa dawa.
Baada ya muda walienda kumpima tena yule mtoto bt bado akawa _ve, walirudia tena bt majibu ni -ve, mpka ninavyoongea mtoto ndo yupo darasa la sita, bt wazazi wanaendelea na dawa mwaka wa tano huu.