KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
tafiti zimeonesha watu wanaotumia ARV au ambao wapo kwenye care programmes wanajihusisha na ngono zembe kwa kiasi kidogo ukilinganisha na wale ambao hawajui status yao. moja ya sababu muhimu ni ushauri nasaha wanaopewa. pia ki-science, chance ya kutransmitt HIV kwa wanaotumia ARV ni ndogo kuliko yule ambaye ana HIV lakini hatumii dawa( labda sababu hajui status yake) .hii inakua explained na uchache wa virusi kwa wale wanaotumia dawa cause dawa zina zuia kuzaliana kwa virus. Swala la usugu wa dawa linaweza kupunguzwa kwa kuhamasisha matumizi zahihi ya dawa. side effects za dawa zipo karibu kwa kila dawa,lakini when benefits ni zaidi ya madhara ni afadhali usaidie wengiLakini mkuu huoni hata kama haya madawa yapo lakini watu wanazidi kuteketea na hili gonjwa kwa sababu hizi dawa zinabadilisha type ya virusi na hivyo maambukizi na kuendelea kwa kasi
ulichopatia ni kichwa chako cha habari kwamba dawa hizo hazifai kwa lolote iwe kunenepesha wala kukondesha, hizo dawa ndiyo ukimwi wenyewe. Gazeti la Kulikoni limewahi kutoka wakati fulani kama siyo 2007 basi ni 2006 na taarifa ukurasa wa mbele kabisa kuwa wanaozitumia dawa hizo hufa mapema kuliko wale wasiozitumia, waulizeni kama wamewahi kuandika hivyo wao, wakikataa nijulisheni pengine nilielewa vibaya.Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
yaani wewe badala ya kujilinda usipate maambukizi unataka wenzio wakose tiba?
Nimeamini sie binadamu tu wabinafsi sana
Well said Mkuu you have said all that I wanted to say.tafiti zimeonesha watu wanaotumia ARV au ambao wapo kwenye care programmes wanajihusisha na ngono zembe kwa kiasi kidogo ukilinganisha na wale ambao hawajui status yao. moja ya sababu muhimu ni ushauri nasaha wanaopewa. pia ki-science, chance ya kutransmitt HIV kwa wanaotumia ARV ni ndogo kuliko yule ambaye ana HIV lakini hatumii dawa( labda sababu hajui status yake) .hii inakua explained na uchache wa virusi kwa wale wanaotumia dawa cause dawa zina zuia kuzaliana kwa virus. Swala la usugu wa dawa linaweza kupunguzwa kwa kuhamasisha matumizi zahihi ya dawa. side effects za dawa zipo karibu kwa kila dawa,lakini when benefits ni zaidi ya madhara ni afadhali usaidie wengi
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
Habari wanajf, nimekuwa nikifuatilia kampeni ya serikali yetu katika kupunguza makali ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo suala la madawa ya kuongeza maisha kwa waathirika linaonekana muhimu sana. Binafsi haya madawa naona yanaendeleza maambukizo kwa sababu mtu anapoyatumia ananawili kweli hivyo kujikuta anaendeleza kuambukiza wengine. Mimi nilikuwa nashauri haya madawa yasitumike ili tuweze kutambuana kirahisi haya ni mawazo yangu lakini.
mkuu ww ushapima? usikute na ww ni mmoja wa watu ambao watazihitaji hizi dawa muda si mrefu!
Hapana sitaki wakose kwa sababu tunawahitaji katika jamii ila hizi dawa zimewafanya watu kwanza wasiogope neno ukimwi ukimwambia mtu anakuambia dawa zipo yaani hii ni sawa na kutoa matangazo ya ukimwi kwa kuweka picha za watu walioshikana mikono badala ya kuweka waathirika
Wewe Nitonye uliyotoa mada hii inatakiwa uwaombe radhi Watanzania kwa kauli hiyo. Kwanza watu wanafuatilia uraia wako kwani wanaamini hakuna Mtanzania anayeweza kutoa maneno kama yako. Vinginevyo namuomba Mungu wetu akusamehe kwani hujui utendalo!!