Zimepita wiki mbili na siku Kama tatu kiongozi
Thanks MkuuPole Mungu yu pamoja nawe, tuamini kila kitu kitakuwa sawa
Inachelewa Nini sijakupata vizuriUkiona inachelewa ndo unao,usipanic endelea kusikilizia
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
I'm not immune to HIV, HIV anaweza kuambukizwa mtu yeyote. Lakini kwa sasa sina maambukizi ya HIVEti naskia eti nawew eti una ngoma?
ngoja waje mkuuu,,Ndugu yangu Jana nimejikokota kwenda saloon kunyoa.. Lakin ghafla nikaghairi Kwa nilichokiona.. Kichwan Kwa mtu wa mwisho kunyolewa alikuwa anatokwa na vijidamu kidevuni... Na vile kapakwa poda ndo damu naziona clearly...
Nikajiwa na wazo la kusema Hivi UKIMWI Kama Jamaa anao na kanyolewa hvyo damu zinatoka, je Mimi ninaefuata kunyoa niko katika hali gani?
Nikaamua kurudi tu nyumban Nikaghairi kabisa.. Mpka saiz niko cjui la kufanya....
Swali langu ni je!
UKIMWI saluni upo au haupo Kwa style niliyoiona Jana?
Hofu ni moja ya vitu vinavyoua, cha msingi ile mashine aipake dawa, ila kama umeona damu damu bora uende kwingine ambapo hujaona damu damu, ila mashine ya kunyolea aipake kwanza ile dawa.Ndugu yangu Jana nimejikokota kwenda saloon kunyoa.. Lakin ghafla nikaghairi Kwa nilichokiona.. Kichwan Kwa mtu wa mwisho kunyolewa alikuwa anatokwa na vijidamu kidevuni... Na vile kapakwa poda ndo damu naziona clearly...
Nikajiwa na wazo la kusema Hivi UKIMWI Kama Jamaa anao na kanyolewa hvyo damu zinatoka, je Mimi ninaefuata kunyoa niko katika hali gani?
Nikaamua kurudi tu nyumban Nikaghairi kabisa.. Mpka saiz niko cjui la kufanya....
Swali langu ni je!
UKIMWI saluni upo au haupo Kwa style niliyoiona Jana?
Mm nilishatumia kipimo cha mate mbona chap tu kinaleta majibuMaziwa ya mama yana virusi vya UKIMWI. Na mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU kwa kunyonya maziwa ya mama. Ndio maana kwa mama ambaye ana uwezo njia nzuri ya kuzuia maambukizi ni kumpa maziwa ya chupa
Mate yana kiasi kidogo cha VVU kuliko majimaji mengine ya mwili