VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Nakuelewaga Sana mkuuu.

Naomba kujua...
KIPIMO CHA HIV FIRST RESPONSE RAPID TEST.. KWA UNDANI NAMANISHA WINDOW PERIOD YAKE PAMOJA NA MUDA WAKE WA KUTAMBUA MAAM UKIZI NDANI YA DAMU....

NIMUHIMU SANA
 
hicho kipimo sh ngap nitest na mm
 
mkuu hapa utagundua hupimwi virus unapimwa kinga ya mwili
Kuhusu virus kuwa wadogo Lazima electronic microscope hiyo si tu virus Hata bacteria, and some protozoans

Nilichouliza mimi Inasemekana kwamba HIV virus Hamna aliewahi kumwona even using such device. Je ni kweli, if so lete proof mkuu
 
Nakuelewaga Sana mkuuu.

Naomba kujua...
KIPIMO CHA HIV FIRST RESPONSE RAPID TEST.. KWA UNDANI NAMANISHA WINDOW PERIOD YAKE PAMOJA NA MUDA WAKE WA KUTAMBUA MAAM UKIZI NDANI YA DAMU....

NIMUHIMU SANA
Kwa kufuata Guideline ya mlolongo wa upimaji wa HIV kwa kutumia izi Rapid test kutoka wizara ya afya TZ ... Na shirika la Afya.

Window P ya Vipimo hivi ni kuanzia Wiki tatu tu .. Yaan kwakufupi majibu kuanzia wiki ya tatu mpaka mwezi nanus yanakua sahihi kwa 95%.....miezi mitatu 100%

.
 
Kuna watu wakisoma comments umu ata kwenda kupima wataogopa duuuuh hatari fayaaaaa...
 
Je kuna asasi zinasaidia kuwatake care watoto walozaliwa na ukimwi ikiwa ni pamoja na kuwasomesha?
Kwa upande wa serikali hamna taasisi ya hivyo.... Kama kumsomesha na nn.... But zipo hospital za wahisani... NGOs ndogo ndogo zinazosaidia care ndogo ndogo hasa kwa watoto 14 years.... Eg bailor ya wa Marekani
 
Aisee hatari sana.Anatukuwa kawapata wengi.Maana mademu wakiona mzungu tena akiwadanganya atawaoa na kuwapeleka ulaya ndo basi tena.

Nini kuwaoa ile akisema tu anataka kuwazalisha, mademu zetu hao kwa stori za ‘kuzaa na mzungu’ ndo umefika.... lengo wapate shombeshombe wa kupost instagram na ‘matunzo’ wanaita pensheni.
 
Aisee hatari sana.Anatukuwa kawapata wengi.Maana mademu wakiona mzungu tena akiwadanganya atawaoa na kuwapeleka ulaya ndo basi tena.

Yaani waliutengeneza kwa lengo maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…