FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa nimeona video,kumbe na by medical practicals,nikajua ngono.Hii si ajabu kuna waBulgaria waliambukiza watoto huko Libya tena Kadhafi aliwafunga sema wakaja achiliwa baadae.Jaribu hii tuone
Kadhafi ndio naniSasa nimeona video,kumbe na by medical practicals,nikajua ngono.Hii si ajabu kuna waBulgaria waliambukiza watoto huko Libya tena Kadhafi aliwafunga sema wakaja achiliwa baadae.
Mouammar KadhafiKadhafi ndio nani
Leta link acha perepeche
Wana dhambi hawa.Ukimwi tumeletewa mkuu,na sio gonjwa hilo tu yapo mengi,either straight kama ukimwi,ebola,herpatitis A-D nk.au kwa kutumia vitu ambavyo ukivitumia unapata ugonjwa kama plastics,madawa mbalimbali,yawe ya hospitali,kilimo,ya nyumbani etc.
Sana mkuu,yaani huwa namfikiria Mungu,wakati mwingine nasema wacha tu aitwe Mungu.Yaani eti watu waliofanya uovu wa kutisha namna hiyo wanatupwa jehanam na mtu aliyesengenya tu!Sielewi.Wana dhambi hawa.
Kupata Biblia ni mpango mzima wa Mungu katika KUMKOMBOA na KUMUOKOA mwanadamu aliyepotelea dhambini na kutawaliwa na ibilisi.Awamu ya kwanza walitusambazia Bibilia awamu ya Pili Virusi vya Ukimwi tungoje awamu ya tatu.
Nadhani Bigger picture inakusumbuaKupata Biblia ni mpango mzima wa Mungu katika KUMKOMBOA na KUMUOKOA mwanadamu aliyepotelea dhambini na kutawaliwa na ibilisi.
Biblia ni Neno la Mungu ambalo linatusaidia kumjua Mungu na kisha kuupata UZIMA WA MILELE ambao ndio mpango mahsusi kwetu wanadamu.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Kupata Biblia ni mpango mzima wa Mungu katika KUMKOMBOA na KUMUOKOA mwanadamu aliyepotelea dhambini na kutawaliwa na ibilisi.
Biblia ni Neno la Mungu ambalo linatusaidia kumjua Mungu na kisha kuupata UZIMA WA MILELE ambao ndio mpango mahsusi kwetu wanadamu.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Awamu ya kwanza walitusambazia Bibilia awamu ya Pili Virusi vya Ukimwi tungoje awamu ya tatu.
ila nimeclick hiyo link inasema hiyo page haupo.
Link gani na ww kipofu kama simu yako haina uwezo kaa pembeni