JAMANIE, Tulikuwa tunabishana hapa kuna mtu kashupalia ati ukilala na mwenye ngoma, wiki mbili tu zinatosha ukipima utaona virusi, wengine wanasema hadi miezi mitatu. kwa wale wataalamu, hivi tangu mtu aambukizwe ngoma, anaweza kukaa muda gani akawa kwenye mazingira ambayo akipima damu yake virusi vitaonekana? miezi mitatu au kweli ni wiki mbili. just curious.
Usimtie hofu mwenzio bhana, mwenyewe nilichochora na mwenye VVU bila kinga lakini sikuambukizwa, kwa hiyo jamaa nae anaweza akawa hajaambukizwa lakini asirudie tena kufanya bila kinga.Lazima wewe utakuwa umeambukiZwa.
Kwa uhakika zaidi miezi mi3