Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
JAMANIE, Tulikuwa tunabishana hapa kuna mtu kashupalia ati ukilala na mwenye ngoma, wiki mbili tu zinatosha ukipima utaona virusi, wengine wanasema hadi miezi mitatu. kwa wale wataalamu, hivi tangu mtu aambukizwe ngoma, anaweza kukaa muda gani akawa kwenye mazingira ambayo akipima damu yake virusi vitaonekana? miezi mitatu au kweli ni wiki mbili. just curious.