Nataka kuagiza gari toka Japan, Kuna gari inaitwa VW golf touran ambayo nime vutiwa nayo na bei take ni reasonable sana. Tatizo ni kwamba watu wangu wa karibu wana nitisha kwamba spea hazipatikani,ni kweli spea za VW ni tatizo kuzipata?
Used GOLF TOURAN VOLKSWAGEN for Sale | BF180117 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD
Achana na stori za zilipendwa kuwa kuwa VW Golf spea hazipatikani, waulize wangapi wamemiliki hizo gari zikawashinda..wengi wanalishwa sumu za kwenye mitandao tu. Namiliki golf 4 kwa mwaka wa tatu sasa hivi, miaka ya 2010 kweli spea ilikuwa mpaka nairobi au dubai lakini sikuiz ukienda mwenge kwa mafundi Benzi spea za kumwaga, kinondoni kwa azizi kila wiki anaingiza mzigo wa spea za golf unapata kila unachotaka. Na uzuri wa hizi gari Ukifunga spea Genuine na kuweka oil ya Castrol na service ya uhakika...Utasahau kukanyaga gereji maana ni gari ngumu sana na pia kwa speed imo na ni comfortable. Achana na maneno ya wafata mkumbo. Mwaka wa tatu sasa na drive VW na sina hata wazo la kuiuza...zaidi nnazichanga kununua Golf 5 au Toureg.

Mkuu asante kwa majibu mazuri yenye experiance... mimi pia nilitaka kuagiza vw polo au golf watu wakaniambia spea hazipo, cha ajabu naziona gari hizo mtaani kibao... na ninazipenda mno hasa nilipoenda south africa mwaka jana nikazikuta ndo gari nyingi zaidi ya make mwingine nadhani kwa south kama ilivyo bongo na toyota. E bwn asante itabidi na mimi niagize. Ila naomba kama una no. za simu za hao wauzaji spea ulowataja nipatie ili niwaulize mambo fulanfulan kabla sijaagiza.. Asante
Vw touran ili nisumbua sana mkuu, nili enjoy kwa miezi m3 na baada ya hapo gari ikahamia garage. Nisingependa kusema kwamba vw touran zote ni mbovu ila yangu ilisumbua gearbox ikawa ina change bila kufuata sequence yani inaruka kwenda mbele na nyuma.ipyax tupe mrejesho wa VW please
Namimi nataka kuagiza