VW golf touran

VW golf touran

Nataka kuagiza gari toka Japan, Kuna gari inaitwa VW golf touran ambayo nime vutiwa nayo na bei take ni reasonable sana. Tatizo ni kwamba watu wangu wa karibu wana nitisha kwamba spea hazipatikani,ni kweli spea za VW ni tatizo kuzipata?
Used GOLF TOURAN VOLKSWAGEN for Sale | BF180117 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD

Achana na stori za zilipendwa kuwa kuwa VW Golf spea hazipatikani, waulize wangapi wamemiliki hizo gari zikawashinda..wengi wanalishwa sumu za kwenye mitandao tu. Namiliki golf 4 kwa mwaka wa tatu sasa hivi, miaka ya 2010 kweli spea ilikuwa mpaka nairobi au dubai lakini sikuiz ukienda mwenge kwa mafundi Benzi spea za kumwaga, kinondoni kwa azizi kila wiki anaingiza mzigo wa spea za golf unapata kila unachotaka. Na uzuri wa hizi gari Ukifunga spea Genuine na kuweka oil ya Castrol na service ya uhakika...Utasahau kukanyaga gereji maana ni gari ngumu sana na pia kwa speed imo na ni comfortable. Achana na maneno ya wafata mkumbo. Mwaka wa tatu sasa na drive VW na sina hata wazo la kuiuza...zaidi nnazichanga kununua Golf 5 au Toureg.
 
kaka asante sana kwa ushauri wako ambao ume nifanya nipate moyo,,, nime iagiza juzi na mungu akipenda mwisho wa mwezi ujao itakua ime fika. Asante sana
 
Achana na stori za zilipendwa kuwa kuwa VW Golf spea hazipatikani, waulize wangapi wamemiliki hizo gari zikawashinda..wengi wanalishwa sumu za kwenye mitandao tu. Namiliki golf 4 kwa mwaka wa tatu sasa hivi, miaka ya 2010 kweli spea ilikuwa mpaka nairobi au dubai lakini sikuiz ukienda mwenge kwa mafundi Benzi spea za kumwaga, kinondoni kwa azizi kila wiki anaingiza mzigo wa spea za golf unapata kila unachotaka. Na uzuri wa hizi gari Ukifunga spea Genuine na kuweka oil ya Castrol na service ya uhakika...Utasahau kukanyaga gereji maana ni gari ngumu sana na pia kwa speed imo na ni comfortable. Achana na maneno ya wafata mkumbo. Mwaka wa tatu sasa na drive VW na sina hata wazo la kuiuza...zaidi nnazichanga kununua Golf 5 au Toureg.

Mkuu umenena safi sanaaaa
 
Mkuu asante kwa majibu mazuri yenye experiance... mimi pia nilitaka kuagiza vw polo au golf watu wakaniambia spea hazipo, cha ajabu naziona gari hizo mtaani kibao... na ninazipenda mno hasa nilipoenda south africa mwaka jana nikazikuta ndo gari nyingi zaidi ya make mwingine nadhani kwa south kama ilivyo bongo na toyota. E bwn asante itabidi na mimi niagize. Ila naomba kama una no. za simu za hao wauzaji spea ulowataja nipatie ili niwaulize mambo fulanfulan kabla sijaagiza.. Asante
 
Ntaweka namba zao hapa
 
Na drive VW since 2011 hamna spare nimewahi tafuta nikakosa sema zina gharama sana ila ukifunga unasahau ni za ukweli sana na ukiendesha vw hautagusa tena gari ya mjapani labda V8
 
ipyax tupe mrejesho wa VW please
Namimi nataka kuagiza
Vw touran ili nisumbua sana mkuu, nili enjoy kwa miezi m3 na baada ya hapo gari ikahamia garage. Nisingependa kusema kwamba vw touran zote ni mbovu ila yangu ilisumbua gearbox ikawa ina change bila kufuata sequence yani inaruka kwenda mbele na nyuma.

Sababu nyingine iliyo changia tatizo kuwa ni ukosefu wa mafundi wanaojua kutengeneza magari toka ulaya kwa mkoa wa mbeya, kama ningepata mafundi wazuri kama wanaopatikana dar tatizo lingerekebishwa mara 1 tu.

Pia nilicheki kwenye mtandao hasa vw forums na inaonyesha watu wengi sana walipata matatizo na Dsg gearbox za vw toleo la kwanza 2004-2005 mpaka 06. Baada ya hapo vw wali fix hizo issues, so kama una nunua toleo la kuanzia 07 ni poa na kama upo dar kuna mafundi wanaojua so haitakusumbua kwenye matengenezo.

Baada ya hapo nili hamia Toyota avensis, allex lakini hazifikii vw kwa ride quality, handling, usalama nk.
 
Back
Top Bottom