NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nasikia VW ni matokeo ya ubabe wa Adolph Hitler,yani mzee Hitler aliwaweka ndani mainjinia wabuni gari lisilotumia maji,wakishindwa anaua mmoja baada ya mmoja,ndo wakabuni VW,,je'hii habari ni kweli?