Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati.

Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda Ngonga, Ipinda au Kapamisya na ukashangaa kesho watu wanajaa , wewe unachotakiwa ni kutangaza kwamba ni mwanachadema tu, umemaliza, sasa wale wa vyama vingine ikiwemo ccm hili haliwezekani, hata wabunge wao wamekwishakataliwa na wananchi .

Wananchi wameishafahamu kwamba CHADEMA ndio chanzo cha Ajenda za kitaifa , yaani hiki ndio chama kinachotoa Dira na Mwongozo wa Kitaifa.

Sasa leo Mjumbe wa Kamati kuu wa Chama hicho Joseph Mbilinyi , amefika Vwawa , Mkoani Songwe na kukinukisha kuhusu Mkataba Mbovu wa Bandari.

Hii ni Kata ya Ipunga

Screenshot_2023-09-06-18-52-58-1.png
 
Back
Top Bottom