Vya bure sio vizuri...

Vya bure sio vizuri...

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna dada mmoja alipita mtaani akapewa samaki wa bure ghafla yule samaki akamkaba kooni ilibidi afanyiwe operation na ilimgharimu 40000. Anayekupa nguo za ndani bure hakupenda usimtangazie mtu Mambo yako unayofanya fanya kimya kimya.

Mataifa kutusaidia barakoa sii Kama wanatupenda wanataka Dawa zao ziuze tuwe macho tumetoka mbali na tunapokwenda ni mbali.
 
Back
Top Bottom