issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,128 Reaction score 7,899 Jun 21, 2016 #1 ukimwona mpenzi wako wa zamani anatoka na mwingine wala usipanic, chukulia poa sababu hata vitu tutupavyo jalalani huliwa na machizi/wehu
ukimwona mpenzi wako wa zamani anatoka na mwingine wala usipanic, chukulia poa sababu hata vitu tutupavyo jalalani huliwa na machizi/wehu
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Jun 21, 2016 #2 ngumu hiyo, inauma sana
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 4,128 Reaction score 7,899 Jun 21, 2016 Thread starter #3 CHIKIRA MTABARI said: ngumu hiyo, inauma sana Click to expand... hamna kitu rahis na kzuri kama kuufarij moyo
CHIKIRA MTABARI said: ngumu hiyo, inauma sana Click to expand... hamna kitu rahis na kzuri kama kuufarij moyo
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Jun 21, 2016 #4 issac77 said: hamna kitu rahis na kzuri kama kuufarij moyo Click to expand... labda! mh!
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,808 Reaction score 2,048 Jun 21, 2016 #5 Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu.
Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu.
wambura marwa JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 2,172 Reaction score 1,128 Jun 21, 2016 #6 mkupuo said: Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu. Click to expand... Basi usisubiri kuachwa acha mapema
mkupuo said: Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu. Click to expand... Basi usisubiri kuachwa acha mapema
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jun 21, 2016 #7 hata huyo uliye naye aliachwa na mwingine, we ni chizi?