vya machizi

vya machizi

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,128
Reaction score
7,899
ukimwona mpenzi wako wa
zamani anatoka na mwingine
wala usipanic, chukulia poa
sababu hata vitu tutupavyo
jalalani huliwa na machizi/wehu
 
Inategemea ni nani alimwacha mwenzake. Kama wewe ndiye uliyeachwa itakuuma sana lakini kama wewe ndiye uliyemwacha utachukulia powa tu.
 
hata huyo uliye naye aliachwa na mwingine, we ni chizi?
 
Back
Top Bottom