MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Basi usitumie Kondomu kujikinga na ukimwi, HIV na maradhi mengine kwa sababu kama kufa kupo tuMimi nakunywa maji lita 3 kwa siku hayo maji ya viwandani na sina mpango wa kuacha..kama kufa kupo tu hauwezi ishi milele
Tuko pamojaAksante mkuu.
Vipi vyakula vingi vya kula na ukapendezaItabidi tule Mavi sio
Mara 1Kwani tunaishi mara ngapi??
Basi usitumie KONDOMtumechoka na vitisho vyenu sasa kila kitu tatizo tu haraaaa!!
msiishi.kwa woga kupitiliza,
Tuko pamoja
usikariri, kama wewe unapenda kurukaruka ndo utanasa huo ukimwi,UKIMWI HIV vinakuusu
Akikujibu unitagOkey, Umegusa ndipo sasa naomba jibu lako kulingana na ulichokiandika.
Pamoja na hayo, kwa maisha ya kitanzania hivyo ni vyakula vya kawaida kwa kila mtanzania wa hali yoyote iwayo ile.
Sasa naomba uweke facts zako ku prove hii mada yako, katika hizo side efffects ulizo ainisha hapo.
Wewe usikurupuke kutoka huko whatsaap na kutuletea manyoka nyoka huku.
Nipo tofauti na mada yako. Japo nikupa asante ya kuwakilisha mada yako.