Vyakula 10 vyenye tindikali (acid)

Vyakula 10 vyenye tindikali (acid)

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Unapaswa kuvijua ili upunguze matumizi yake kila siku kwa kuepuka kwa kinga zako kudhofika na kupungua, kuongeza sumu kwenye mwili na kinga zako, kudhofisha viungo mbalimbali na kupelekea saratani pamoja na kufail kwa viungo mbalimbali vya mwili kama vile ini na figo.

1. Maji ya kunywa ya viwandani mengi pH zake zipo.kati ya 6 badala ya 7 (natural)

2. Nyama nyekundu e.g Ng'ombe

3. Maharagwe

4. Sukari e.g Miwa

5.Mafuta ya kupikia e.g Pamba

6. Mahindi makavu

7. Soda

8. Maziwa e.g Ng'ombe

9. Pombe

10. Vyakula vya ngano e.g Mikate
FB_IMG_1537104110703.jpg
 
Okey, Umegusa ndipo sasa naomba jibu lako kulingana na ulichokiandika.

Pamoja na hayo, kwa maisha ya kitanzania hivyo ni vyakula vya kawaida kwa kila mtanzania wa hali yoyote iwayo ile.
Sasa naomba uweke facts zako ku prove hii mada yako, katika hizo side efffects ulizo ainisha hapo.

Wewe usikurupuke kutoka huko whatsaap na kutuletea manyoka nyoka huku.

Nipo tofauti na mada yako. Japo nakupa asante kwa kuwakilisha mada yako.
 
mara ugali mara wali mara nyama mara mayai wakati zamani mlitufundisha mayai ni protein sa hv mnakataa sijui yana madhara..kila kukicha hiki sio hiki blahblah.....bora kula tuuu
 
Matunda unakula ya mbegu za viwandani mwembe wa miaka mitano unatoa embe,mapapai sijui ya miezi mingapi,dunia imebadirika hata mwili wa binadamu no una adopt mabadiriko hayo!!kunavibiashara watu wameanzisha kujakuvuruga vuruga akili za watu
 
Okey, Umegusa ndipo sasa naomba jibu lako kulingana na ulichokiandika.

Pamoja na hayo, kwa maisha ya kitanzania hivyo ni vyakula vya kawaida kwa kila mtanzania wa hali yoyote iwayo ile.
Sasa naomba uweke facts zako ku prove hii mada yako, katika hizo side efffects ulizo ainisha hapo.

Wewe usikurupuke kutoka huko whatsaap na kutuletea manyoka nyoka huku.

Nipo tofauti na mada yako. Japo nikupa asante ya kuwakilisha mada yako.
Akikujibu unitag
 
Back
Top Bottom