Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Great! Mzizi mimi ni mfuasi wako...
Mkuu@Who Cares? kuna vingine unatakiwa ule pasipo na kuchemsha vingine unatakiwa uchemshe lakini sio vyoteDuuhh..anyway...naomba nianze na miswali kwanza.
Nitajuwaje kuwa ini langu au lako chafuuu?
Ini likiwa chafu tatizo nini mpaka nilazimike kulisafisha???
Na vyakula vyoooote hivyo...? Na jee ni lazima kila siku ule hivyo vyakula au hata kimojawapo kinatosha..?
Na je nivile-je??...nichemshe nikaangize nile vibichi au nifanyeje?
Mkuu sana mzizi nzomba majibu kwa manufaa yetu sisi na manufaa ya watanzania woote tunaofuatiliz darsa lako hapa jamvini.
Mkuu SURUMA inakufaa hivyo vyakula sio sumu ni vyakula vya kila siku japo kimojawapo ukipate sio lazima upate vyote hivyo ukipata kimojawapo kwa kila siku inatosha.Asante sana Mzizi Mkavu!! Sisi wa VIROBA inatufaa sana hii list maana inabidi kuwa tunasafisha baada ya kulichosha ini
Mkuu SURUMA inakufaa hivyo vyakula sio sumu ni vyakula vya kila siku japo kimojawapo ukipate sio lazima upate vyote hivyo ukipata kimojawapo kwa kila siku inatosha.