Vyakula 12 bora vya kusafisha ini lako inapaswa kuvitumia kila siku ushauri wangu huo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1236638_216001355232676_1641845287_n.png
 
Thanx. Vp kuh nanaa (mint)? Na kotmir? Na hapo kwenye green tea vp? Au ni mchaichai?
 
Duuhh..anyway...naomba nianze na miswali kwanza.

Nitajuwaje kuwa ini langu au lako chafuuu?

Ini likiwa chafu tatizo nini mpaka nilazimike kulisafisha???

Na vyakula vyoooote hivyo...? Na jee ni lazima kila siku ule hivyo vyakula au hata kimojawapo kinatosha..?

Na je nivile-je??...nichemshe nikaangize nile vibichi au nifanyeje?

Mkuu sana mzizi nzomba majibu kwa manufaa yetu sisi na manufaa ya watanzania woote tunaofuatiliz darsa lako hapa jamvini.
 
Asante sana Mzizi Mkavu!! Sisi wa VIROBA inatufaa sana hii list maana inabidi kuwa tunasafisha baada ya kulichosha ini
 
Mkuu@Who Cares? kuna vingine unatakiwa ule pasipo na kuchemsha vingine unatakiwa uchemshe lakini sio vyote

hivyo uvipate ukipata japo moja kati ya hivyo nilivyovitaja kila siku itakuwa ni boara .Unashauri kila mwaka japo mara 1

nenda kapime Afya yako kwa ujumla Hospitalini sio ukae mpaka uumwe ndio unakwenda Hospitalini haitakiwi hivyo Mkuu.
 
Asante sana Mzizi Mkavu!! Sisi wa VIROBA inatufaa sana hii list maana inabidi kuwa tunasafisha baada ya kulichosha ini
Mkuu SURUMA inakufaa hivyo vyakula sio sumu ni vyakula vya kila siku japo kimojawapo ukipate sio lazima upate vyote hivyo ukipata kimojawapo kwa kila siku inatosha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SURUMA inakufaa hivyo vyakula sio sumu ni vyakula vya kila siku japo kimojawapo ukipate sio lazima upate vyote hivyo ukipata kimojawapo kwa kila siku inatosha.

Ninajitahidi Mkuu na, namshukuru MUNGU kwani nimekuwa Napata kimoja wapo kwa miaka mingi tuu (kwa mazoea ya malezi ya Marehemu Bibi yangu)....Ukweli sikujua kama ni KINGA ENDELEVU.
 
Back
Top Bottom