Shammylovie Member Joined Jan 12, 2024 Posts 41 Reaction score 78 Feb 3, 2024 #21 safuher said: Vipi dagaa wabichi tukiwakaanga na mtoto akala ina shida ama ale wakuchesmhwa ? Click to expand... Kama anaweza kutafuna vzr na akameza bila shida yyte bas n sawa ... Angalia ulaji wake upoje kama ztampa shda wakat wakula tafta kngne jamii ya samaki
safuher said: Vipi dagaa wabichi tukiwakaanga na mtoto akala ina shida ama ale wakuchesmhwa ? Click to expand... Kama anaweza kutafuna vzr na akameza bila shida yyte bas n sawa ... Angalia ulaji wake upoje kama ztampa shda wakat wakula tafta kngne jamii ya samaki
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 15, 2024 Thread starter #22 Patra31 said: Àsante kwa somo lako tutalifanyia kazi Click to expand... Asante
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Feb 16, 2024 #23 Mayai ya kienyeji mkorogee bichi ktk maziwa ya ng'ombe