Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!

Zabibu:

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu.






Samaki


Husaidia kuongeza uwezo wa Ubongo katika mawasiliano.


Kahawa:

Hulinda Ubongo dhidi ya ugonjwa wa Akili unao ambatana na uzee.



Chokleti (Chocolate):

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu.



Mtindi (Maziwa Mgando):

Huongeza Vitamini B12, ambayo husaidia kuzuia Ubongo Kusinyaa.



Mboga za Kijani / Majani:

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kukumbuka mambo.




Karanga au Korosho:

Huongeza Vitamini E, ambayo hulinda Ubongo dhidi ya ugonjwa wa Akili unao ambatana na uzee.




 

Attachments

  • chokoleti.jpg
    11.8 KB · Views: 1,807
  • green+vegetables+2.jpg
    79.7 KB · Views: 1,825
  • karanga.jpg
    141.2 KB · Views: 1,842
  • zabibu.jpg
    11.8 KB · Views: 1,840
  • korosho.jpg
    21.8 KB · Views: 1,836
  • kahawa.jpeg
    6.4 KB · Views: 1,799
  • MTINDI.jpg
    2.9 KB · Views: 2,413
  • Samaki.jpg
    36 KB · Views: 1,852
kahawa MziziMkavu naomba maelezo ya kina zaidi maana nasikia ina nicotine nyingi sana
 
Kuhusu karanga/korosho nakubaliana na MziziMkavu kwa sababu kuna kitu inaitwa almond nayo inasifika kwa kuboresha ubongo.

Mananasi nayo niliona mahali yanasaidia uwezo wa kukumbuka.

Kuhusu kahawa........itabidi nikapitie upya hadidu rejea
 
Last edited by a moderator:
Kumbe zabibu inasaidiakuongeza akili ? asante Mzizi kwa kunifundisha maana siku nyingi nilikuwa najiuliza mbona Mapandri wanaakili nyingi sana ? Leo nimepata jibu ni kwa sababu ya kunywa divai kila siku inayotengenezwa na zabibu
 
Nimeelewa vitu vingi kupitia mambo hayo ya umuhimu kwangu na Jamii nzima kwa ujumla

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…