Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!

Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!

Kumbe zabibu inasaidiakuongeza akili ? asante Mzizi kwa kunifundisha maana siku nyingi nilikuwa najiuliza mbona Mapandri wanaakili nyingi sana ? Leo nimepata jibu ni kwa sababu ya kunywa divai kila siku inayotengenezwa na zabibu

Ha haaaa umetishaa
 
kahawa MziziMkavu naomba maelezo ya kina zaidi maana nasikia ina nicotine nyingi sana

vyakula ulivyotanja hapo nakubaliana navyo ispokuwa kahawa tu

Mkuu, kahawa na chocolate mimi hapana sababu ya caffeina iliyomo humo.

Tupe maelezo mazuri juu ya kahawa maana nasikia sio nzuri kiafya.

Mkuu karanga mbichi au?
Mkuu Karanga ziwe mbichi itakuwa ni bora zaidi.

Kuhusu karanga/korosho nakubaliana na MziziMkavu kwa sababu kuna kitu inaitwa almond nayo inasifika kwa kuboresha ubongo.

Mananasi nayo niliona mahali yanasaidia uwezo wa kukumbuka.

Kuhusu kahawa........itabidi nikapitie upya hadidu rejea
COFFEE (KAHAWA)• Kahawa si kinywaji cha mtu kupendasana kutumia, lakini kinapotumiwa kwa kiasi kidogo na kwa tahadhari, kina faida zake:
•
Huboresha utendaji kazi wa ubongo
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa asma (asthma)
• Hutoa ahueni kwa wenye homa
• Huongeza nishati ya mwili
• Huzuia meno kuoza
• Ina kemikali ambayo huzuia saratani kwa wanyama
• Hutoa uchangamfu






Chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa
 
Mkuu Karanga ziwe mbichi itakuwa ni bora zaidi.

COFFEE (KAHAWA)• Kahawa si kinywaji cha mtu kupendasana kutumia, lakini kinapotumiwa kwa kiasi kidogo na kwa tahadhari, kina faida zake:
•
Huboresha utendaji kazi wa ubongo
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa asma (asthma)
• Hutoa ahueni kwa wenye homa
• Huongeza nishati ya mwili
• Huzuia meno kuoza
• Ina kemikali ambayo huzuia saratani kwa wanyama
• Hutoa uchangamfu






Chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa

Hivi mkuu kahawa hata hii tuipatayo madukani inaweza kazi hiyo au ndo lazima tupate buni yaani kahawa halisi?.
ni kweli mzizi mkavu hauchimbwi dawa lakini husagwa na vumba lake likawa dawa teh teh.
mwisho sheikh wangu jazaakallahu khayr.
 
COFFEE (KAHAWA)• Kahawa si kinywaji cha mtu kupenda sana kutumia, lakini kinapotumiwa kwa kiasi kidogo na kwa tahadhari, kina faida zake:
•
Huboresha utendaji kazi wa ubongo
• Hutoa ahueni kwa wagonjwa wa asma (asthma)
• Hutoa ahueni kwa wenye homa
• Huongeza nishati ya mwili
• Huzuia meno kuoza
• Ina kemikali ambayo huzuia saratani kwa wanyama
• Hutoa uchangamfu






Chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa

Sawa mkuu, ni mhimu kutoa tahadhari kama ulivyofanya kwenye post hii kwamba itumike kwa kiasi kidogo na tahadhari.
 
Vyakula 7 vyenye Faida kwa Ubongo na Akili yako!

Zabibu:

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu.


attachment.php




Samaki


Husaidia kuongeza uwezo wa Ubongo katika mawasiliano.
attachment.php


Kahawa:

Hulinda Ubongo dhidi ya ugonjwa wa Akili unao ambatana na uzee.
attachment.php



Chokleti (Chocolate):

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kumbukumbu.
attachment.php



Mtindi (Maziwa Mgando):

Huongeza Vitamini B12, ambayo husaidia kuzuia Ubongo Kusinyaa.

attachment.php


Mboga za Kijani / Majani:

Husaidia kulinda ubongo dhidi ya kupungua uwezo wa kukumbuka mambo.

attachment.php



Karanga au Korosho:

Huongeza Vitamini E, ambayo hulinda Ubongo dhidi ya ugonjwa wa Akili unao ambatana na uzee.

attachment.php



attachment.php

Heshima kwako MziziMkavu Nilikuwa naogopa kunywa kahawa sasa nitakunywa tu
 
Last edited by a moderator:
Chocolate yenye manufaa zaidi mwilini ni dark chocolate. Lakini chocolate yoyote ina fat na caffein kwa hiyo matumizi yake yawe moderate. Shoppers supermarket dar wanauza dark chocolates aina mbalimbali
 
Back
Top Bottom