Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana sana MkuuuKongoro au bamia vinarudisha kwa kiasi kikubwa
Karubu mkuu. Bamia zingatia ziwe zile ambazo hazikakomaa sanaAhsante sana sana Mkuuu
Chukua bamia, changanya na nyanya chungu, pika pamoja, chumvi kwa mbali sana, tumia kwa sana, pia nyama apumzike nayo,utapata jibu.Ahsante sana sana Mkuuu
Mkuu bubble c na red tea wala hat asivijui Mkuu....kwa faida ya wengine pia..Bubble c na red tea za edmark zinaongeza kwa kasi ya ajabu na kuwaondolea maumivu nichecl 0758768855
:and how do I get this thing in south Africa?.? Supermarket gani wanawezakua nayo hiyo ( red bubble tea)RED BUBBLE TEA ni bidhaa ambayo pamoja na kusaidia kutibu kabisa matatizo ya maumivu ya mifupa,
Pia tunaitumia kama mbadala ya majani ya chai ya kawaida tunashauri utumie " RED BUBBLE TEA "
EDMARK RED BUBBLE TEA
Imetengenezwa kwa kutumia MAJANI ya mmea uitwao CAMELIA SINENSIS , kisha kuchanganywa na MCHELE MWEKUNDU.Mchanganyiko huu unakupa vinasaba vya kiprotini vinavyosaidia kuzuia seli zisiharibiwe na kemikali mbali mbali.
Ni nzuri zaidi kuliko majani ya chai tuliyoyazoea.Na mchanganyiko huu unakupa zaidi ya kile unachokihitaji kama harufu nzuri,ladha nzuri naa pia kuimarisha kinga yako ya mwili.
FAIDA ZA RED BUBBLE TEA:-
FAIDA zake zinapatikana katika vilivyomo ndani yake ambavyo ni MAJANI ya Camelia Sinensis pamoja na mchele mwekundu.
FAIDA ZA CAMELIA SINENSIS ni kama zifuatazo.
-Husaidia kuongeza kinga ya mwili
-Husaidia kuongeza uimara wa Mifupa (joints)
-Inaondoa msongo wa mawazo.
FAIDA ZA MCHELE MWEKUNDU ni hizi zifuatazo.
- Inapunguza na kuondoa kabisa lehemu mbaya ( Bad cholesterol ).
- Inasaidia kuongeza lehemu nzuri
- Inasaidia mzunguko wa damu na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kufanya kai kwa ufanisi.
Asante sana najifunza meng....mimi naumri mdogo ila miguu some times huwa inaniuma au nikikaa chin nimekunja nikija kuinuka inauma sanabamia bamia, katakata chemsha kidogo afu kunywa, asubuh na jion ndani ya mwez mmoja utanipa majbu, usitie kitu chochote kile, hata chumvi usitie
kumbe aiseeKatika yoote mliyonena nami naongezea juice ya bamia na maboga ni suluhisho tosha la kuongeza ute katika joint za mwili.
Juice ya ocla+pumpkin ni kiboko ya hili tatizo.
Anywe glasi moja asubuhi mchana na jioni plus kasupu ka kuku wa kienyeji iliyochemshwa na mchanganyiko wa nyanya chungu, hoho na karoti.
Ndani ya mwezi mzee utakimbia kama [HASHTAG]#usainbolt[/HASHTAG]
poleAsante sana najifunza meng....mimi naumri mdogo ila miguu some times huwa inaniuma au nikikaa chin nimekunja nikija kuinuka inauma sana
Kula kongoro za ng'ombe kwa wingi na michemsho ya nyama zenye mifupa kwa sanaWakuu habari,
ni vyakula gani mzazi wangu anatakiwa ale ili kuongeza ute...Disc za miguu zimesagana sana sana kwasababu hakuna ute...maji maji laini. anashindwa hadi kutembea
Ahsanteni sana