Vyakula gani huongeza Ute Disc za miguu zimesagana sana

Vyakula gani huongeza Ute Disc za miguu zimesagana sana

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Wakuu habari,
ni vyakula gani mzazi wangu anatakiwa ale ili kuongeza ute...Disc za miguu zimesagana sana sana kwasababu hakuna ute...maji maji laini. anashindwa hadi kutembea
Ahsanteni sana
 
Bubble c na red tea za edmark zinaongeza kwa kasi ya ajabu na kuwaondolea maumivu nichecl 0758768855
Mkuu bubble c na red tea wala hat asivijui Mkuu....kwa faida ya wengine pia..
 
Bamia mzee, hata kuzitafuna mbichi inasaidia sana
 
Unaweza chukua tembele ukachanganya na spinach, then saga pamoja, tumia juice yake kia siku glass moja asubuhi na moja jioni, pia zinaongeza
 
RED BUBBLE TEA ni bidhaa ambayo pamoja na kusaidia kutibu kabisa matatizo ya maumivu ya mifupa,
Pia tunaitumia kama mbadala ya majani ya chai ya kawaida tunashauri utumie " RED BUBBLE TEA "

EDMARK RED BUBBLE TEA
Imetengenezwa kwa kutumia MAJANI ya mmea uitwao CAMELIA SINENSIS , kisha kuchanganywa na MCHELE MWEKUNDU.Mchanganyiko huu unakupa vinasaba vya kiprotini vinavyosaidia kuzuia seli zisiharibiwe na kemikali mbali mbali.
Ni nzuri zaidi kuliko majani ya chai tuliyoyazoea.Na mchanganyiko huu unakupa zaidi ya kile unachokihitaji kama harufu nzuri,ladha nzuri naa pia kuimarisha kinga yako ya mwili.

FAIDA ZA RED BUBBLE TEA:-

FAIDA zake zinapatikana katika vilivyomo ndani yake ambavyo ni MAJANI ya Camelia Sinensis pamoja na mchele mwekundu.

FAIDA ZA CAMELIA SINENSIS ni kama zifuatazo.

-Husaidia kuongeza kinga ya mwili
-Husaidia kuongeza uimara wa Mifupa (joints)
-Inaondoa msongo wa mawazo.

FAIDA ZA MCHELE MWEKUNDU ni hizi zifuatazo.
- Inapunguza na kuondoa kabisa lehemu mbaya ( Bad cholesterol ).
- Inasaidia kuongeza lehemu nzuri
- Inasaidia mzunguko wa damu na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kufanya kai kwa ufanisi.
:and how do I get this thing in south Africa?.? Supermarket gani wanawezakua nayo hiyo ( red bubble tea)
 
bamia bamia, katakata chemsha kidogo afu kunywa, asubuh na jion ndani ya mwez mmoja utanipa majbu, usitie kitu chochote kile, hata chumvi usitie
 
bamia bamia, katakata chemsha kidogo afu kunywa, asubuh na jion ndani ya mwez mmoja utanipa majbu, usitie kitu chochote kile, hata chumvi usitie
Asante sana najifunza meng....mimi naumri mdogo ila miguu some times huwa inaniuma au nikikaa chin nimekunja nikija kuinuka inauma sana
 
Katika yoote mliyonena nami naongezea juice ya bamia na maboga ni suluhisho tosha la kuongeza ute katika joint za mwili.

Juice ya ocla+pumpkin ni kiboko ya hili tatizo.
Anywe glasi moja asubuhi mchana na jioni plus kasupu ka kuku wa kienyeji iliyochemshwa na mchanganyiko wa nyanya chungu, hoho na karoti.
Ndani ya mwezi mzee utakimbia kama [HASHTAG]#usainbolt[/HASHTAG]
 
kumbe aisee
 
KONGORO

chemsha mpaka iwe laini ili upate uroto(utekat kat ya mfupa) piga bakuli zako zakutosha.
 
Ni kweli mnacjo sema watalaam hapo juu lkn pia azingatie kwenda hospitali maana kuna dawa ambazo zinaongeza ute kwa maana zule dawa ni asili ya hivyo vitu mnavyo visema hapo juu, nasema hivyo sababu hata mie nilikuwa na tatizo hilo mguu wangu wa kushoto nikaenda Regency nukaonana na specialist wa viungo akanipa dawa na akanishauri nile vyakula vyenye asili ya ute! Ukweli naendelea vizuri kama si kupona kabisa!!!! Lakini anaweza kwenda kwenye maombi kama ni muumini pia in God everything is possible!!
 
Wakuu habari,
ni vyakula gani mzazi wangu anatakiwa ale ili kuongeza ute...Disc za miguu zimesagana sana sana kwasababu hakuna ute...maji maji laini. anashindwa hadi kutembea
Ahsanteni sana
Kula kongoro za ng'ombe kwa wingi na michemsho ya nyama zenye mifupa kwa sana
 
Back
Top Bottom