M Mwogahafi Member Joined Jun 2, 2014 Posts 82 Reaction score 15 Aug 2, 2014 #1 Habari za muda huu wakuu Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake?
Habari za muda huu wakuu Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake?
Peace92 JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 261 Reaction score 57 Aug 3, 2014 #2 uji wa lishe,ugali,samaki,mboga za majani,ndizi kwa wingi,dagaa,matunda
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Aug 3, 2014 #3 Mwogahafi said: Habari za muda huu wakuu Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake? Click to expand... Kunywa supu ya pweza inasaidia kuongeza sana maziwa. Hivyo hata mtoto akiwa mnyonyaji sana haitokuathiri maana maziwa utakuwa nayo mengi mno!
Mwogahafi said: Habari za muda huu wakuu Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake? Click to expand... Kunywa supu ya pweza inasaidia kuongeza sana maziwa. Hivyo hata mtoto akiwa mnyonyaji sana haitokuathiri maana maziwa utakuwa nayo mengi mno!
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 Aug 4, 2014 #4 tafuta chakula cha lishe najitahidi sana kula vyakula vyenye mchanganyiko wa Tangawizi, iliki, bila kusahau vyakula vyenye protein kwa wingi
tafuta chakula cha lishe najitahidi sana kula vyakula vyenye mchanganyiko wa Tangawizi, iliki, bila kusahau vyakula vyenye protein kwa wingi
M Mwogahafi Member Joined Jun 2, 2014 Posts 82 Reaction score 15 Aug 19, 2014 Thread starter #5 Ahsanteni kwa ushauri wenu mzuri
Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,406 Aug 12, 2015 #6 i like this