Vyakula gani ni muhimu viliwe na mama anayenyonyesha

Vyakula gani ni muhimu viliwe na mama anayenyonyesha

Mwogahafi

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
82
Reaction score
15
Habari za muda huu wakuu
Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake?
 
uji wa lishe,ugali,samaki,mboga za majani,ndizi kwa wingi,dagaa,matunda
 
Habari za muda huu wakuu
Naomba msaada wa kujulishwa ni aina gani ya vyakula ni mzuri kuliwa na mama anayenyonyesha ili kulinda afya yake?

Kunywa supu ya pweza inasaidia kuongeza sana maziwa. Hivyo hata mtoto akiwa mnyonyaji sana haitokuathiri maana maziwa utakuwa nayo mengi mno!
 
tafuta chakula cha lishe najitahidi sana kula vyakula vyenye mchanganyiko wa Tangawizi, iliki, bila kusahau vyakula vyenye
protein kwa wingi
 
Back
Top Bottom