Amosk Member Joined Dec 6, 2012 Posts 50 Reaction score 8 Jun 17, 2019 #1 Habari za wakati huu wana JF Dr. Naomba msaada wenu hasa wa mawazo na ushauri wa tiba kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilipata ajari nika vunjika mguu eneo la jointi.
Habari za wakati huu wana JF Dr. Naomba msaada wenu hasa wa mawazo na ushauri wa tiba kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilipata ajari nika vunjika mguu eneo la jointi.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jun 17, 2019 #2 Mimi si daktari lakini ninafahamu calcium huimarisha mifupa. Vyakula vyenye calcium kwa wingi ni dagaa, maziwa na cheese.
Mimi si daktari lakini ninafahamu calcium huimarisha mifupa. Vyakula vyenye calcium kwa wingi ni dagaa, maziwa na cheese.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Jun 17, 2019 #4 Bamia
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,199 Reaction score 2,859 Jun 17, 2019 #5 Bamia na mlenda kwa sana.. Hasa bamia.