Vyakula Gani uhunga mfupa uliyovunjika hasa joint ya mguuni kwa Haraka.

Vyakula Gani uhunga mfupa uliyovunjika hasa joint ya mguuni kwa Haraka.

Amosk

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Habari za wakati huu wana JF Dr. Naomba msaada wenu hasa wa mawazo na ushauri wa tiba kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nilipata ajari nika vunjika mguu eneo la jointi.
 
Mimi si daktari lakini ninafahamu calcium huimarisha mifupa. Vyakula vyenye calcium kwa wingi ni dagaa, maziwa na cheese.
 
Bamia na mlenda kwa sana..
Hasa bamia.
 
Back
Top Bottom