fite fite
Senior Member
- Feb 27, 2017
- 113
- 94
- Thread starter
- #21
ASANTE SANA ndugu kwa ushauri murua,Unahijitaji kwanza we mwenyew kurelax kwanza na ukifanikiw jua ya hilo hakika utarud katika hali ya kawaida na ili uwe normal jarib kujumika na watu toafauti tofauti na penda pia kubadirisha mazingira na usiwe karibu na mtu ama kitu kilifanya ukawa unconscious