Duuuuu zero IQ kwelAchana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo.
Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale waliokulingia wakati ukiwa kapuku,
Leo tujadili tu kwanza msosi.
Mkuu nimebate niliweka timu kama 20 hivi kwa buku ikaja kama milioni 150 timu karibia zote ziko fresh kasoro moja inacheza leo ,Mkuu umetusua nn au shimo limetema kwa hiyo ndio unapnga mashambulizi
Na hapo kwenye timu moja ndipo utakapolia [emoji38][emoji38]Mkuu nimebate niliweka timu kama 20 hivi kwa buku ikaja kama milioni 150 timu karibia zote ziko fresh kasoro moja inacheza leo ,
Hapo ndio nipo napangilia matumizi mkuu.
Wakati huna hela unatamani sana ule makeki na mazagazaga mengiiii....ukipata hela kwasababu ya kutokujali afya yako unaishia kuambiwa na daktari hakuna kula makeki na mazagazaga yote uliokuwa unayatamani....eat healthy!Achana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo.
Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale waliokulingia wakati ukiwa kapuku,
Leo tujadili tu kwanza msosi.
Ndio tuambie sasa mkuu msosi gani wa kudinya ukiwa na payWakati huna hela unatamani sana ule makeki na mazagazaga mengiiii....ukipata hela kwasababu ya kutokujali afya yako unaishia kuambiwa na daktari hakuna kula makeki na mazagazaga yote uliokuwa unayatamani....eat healthy!
Uwe na hela, usiwe na hela kula vyakula vya kiafya....mboga mboga,matunda kwa wingi....vilivyobaki kwa kiasi kidogo sana utainjoi maisha.Ndio tuambie sasa mkuu msosi gani wa kudinya ukiwa na pay
mkuu vp umeanza likizo nini?Mboga saba...ila nyama nyeupe, mboga za majani na dona...
Matunda mvuaa...
Kifupi tajiri unapaswa kula mlo kamili
Ndio maana mnaishia kupata kisukari pindi mkijaaliwa senti za kubadili vyakula.Utajri inatakiwa ale baga,pizza,soseji ,Hennessey ,Maji Kilimanjaro, asile nyumbani akale KFC ,au pale mlimani city