Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Vyakula gani vya kula ukiwa na pesa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Achana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo.

Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale waliokulingia wakati ukiwa kapuku,

Leo tujadili tu kwanza msosi.
 
Mboga saba...ila nyama nyeupe, mboga za majani na dona...

Matunda mvuaa...

Kifupi tajiri unapaswa kula mlo kamili
Kumbe hiyo ya mboga saba huwa ni kweli mkuu mi nimezoea huku kwetu kamboga kamoja tu ugari kilo dagaa wa mia 2
 
Mkuu nimebate niliweka timu kama 20 hivi kwa buku ikaja kama milioni 150 timu karibia zote ziko fresh kasoro moja inacheza leo ,

Hapo ndio nipo napangilia matumizi mkuu.
Na hapo kwenye timu moja ndipo utakapolia [emoji38][emoji38]
 
Nikipiga dili namcheki mumy home nyumbani kwanza...

Oya...Mi nakula chochote...Ninacho kama sina...Sina kama ninacho

Lakini nikipata cash nakuwa fresh kama Cucumber...
Mumy kumcheki lazima mkuu
 
Achana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo.

Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale waliokulingia wakati ukiwa kapuku,

Leo tujadili tu kwanza msosi.
Wakati huna hela unatamani sana ule makeki na mazagazaga mengiiii....ukipata hela kwasababu ya kutokujali afya yako unaishia kuambiwa na daktari hakuna kula makeki na mazagazaga yote uliokuwa unayatamani....eat healthy!
 
Ndio tuambie sasa mkuu msosi gani wa kudinya ukiwa na pay
 
Utajri inatakiwa ale baga,pizza,soseji ,Hennessey ,Maji Kilimanjaro, asile nyumbani akale KFC ,au pale mlimani city
 
Ndio tuambie sasa mkuu msosi gani wa kudinya ukiwa na pay
Uwe na hela, usiwe na hela kula vyakula vya kiafya....mboga mboga,matunda kwa wingi....vilivyobaki kwa kiasi kidogo sana utainjoi maisha.
 
Back
Top Bottom