Vyakula gani vya kulainisha nyama za makalio kwa wanawake?

Vyakula gani vya kulainisha nyama za makalio kwa wanawake?

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Naomba kujua vyakula vinavosaidia makalio kuwa laini, pamoja na ngozi yake kuwa nyororo
 
Hahaha aisee unataka makalio yawe mtepweto sio
 
Kama ni mwanamke epuka kufanya kaz ngumu sana kama kukimbia umbalu mrefu,kulima( epuka kaz zinazofanya ukaze misuli ya makalio)

Kama n mwanaume haina haja ya kulainisha makalio!
 
Aisee!, labda upunguze kazi nzito ili mwili uwe una-relax mda mwingi. Kunywa na maji mengi.
 
Kuna vitako vigumu,,kama vistone. Halafu wanavo wanaume sana sana🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kuna vitako vigumu,,kama vistone. Halafu wanavo wanaume sana sana🏃🏃🏃🏃🏃
Mwanaume gani anataka tako laini?
Mwanamke kuwa na tako gumu kama bumunda ni dahari sana.
 
Back
Top Bottom