Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

IMG-20240223-WA0010.jpg
IMG-20240228-WA0060.jpg
 
Vyakula ambavyo vimeua sana kwa kansa ni soda na mafuta ya korie
Soda nakataa
Mitaani tunamo8shi marketing na marketing ya soda hushushwa na kunywewa kila siku hao wagonjwa wa kanza mbona hatuwaoni na vifo nadra sana kusikia mtu kafa.

Ingekuwa kweli kungekuwa na vifo vya kimbari vya wanywa soda na kika nyumba ingekuwa na wagonjwa kibao wa kansa
 
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy
Sawa na Asante KISS 100 AKA Prof Janabi ....
 
Uzuri wa nyama ni:
1. Cooking by high temperatures hupunguza kwa kiwango kikubwa madhara yatokanayo kwa kuunguza mafuta hatari.
2. Baada ya mmeng'enyo cha ziada hutolewa nje. Haihifadhiwi katika any form tofauti na ilivyo Carbs.
3. Protein sio ngeni (foreign substance) katika mwili.
4. Haina addiction. Carbs zina addiction.
 
Back
Top Bottom