Carbs na sugar ni hatari zaidi ya nyama.Ili tuendelee kuwapoteza tuwasisitize kula processed carbs, Sugar na seed oils.
Halafu tuwaambie Nyama, chumvi na animal fats ni tatizo.
Soda ni mbaya sana. Hata haina kiasi.Soda inauaje Kwa mfano ukinywa kiasi
Soda nakataaVyakula ambavyo vimeua sana kwa kansa ni soda na mafuta ya korie
Sawa na Asante KISS 100 AKA Prof Janabi ....Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy
Hadi miwani inampwaya kwenye maskio
Kula nyama, nyamaza.Wahadzabe wanashindia nyama mbona kansa kwao hakuna
Wazee wa zamani walikua wanashindia nyama tena mbichi.
Juice nayo sio salama?
Kwa zinazoongezewa sukari ya kiwandani sio natural sugar ya tunda.Ukinywa sana zenye sukari Kwa wingi sana ni hatari
Imejaa sukari (hata unayotengeneza mwenyewe)Juice nayo sio salama?