Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna sehemu nimelaumu niko tayari kuomba radhi kwa watanzania mheshimiwa .Binadamu hawana wema. Vyakula vikipanda tunapiga kelele, serikali haikemei wafanyabiashara wwnapandisha bei ziko juu. Leo vyakula bei iko chini mnalalamika. Ndiyo maana Magufuli aliwaambia wakulima uzeni mahindi hata laki 5 gunia, maana hawakukusaidia kulima. Vyakula bei au kushika huamuliwa na nguvu ya soko lenyewe. Mwaka jana alizeti ilikuwa 50,000 kwa gunia leo hii ni 130,000.
MAMA ANAENDELEA KUUPIGA MWINGI. KONGOLE KWAKELeonilienda siko la Buguruni nilichokutana nacho. Nyanya kisado 2500
Nyanyachungu fungu la 2000 hubebi. Viazi mviringo kindoo kidogo 3000
Mchele 1800. Vitunguu vya 2000 huwezi kubeba
Dkt. Mwigulu au marehemu Mafuru mlifanyafanyaje hapo?
Au ndio kuadimika kwa shilingi.
Mwanza vijijiniMpunga mwaka huu umegoma kupanda ndio maana mchele uko chini,hiyo bei ya 60 ni wapi huko
Subiri february,wataliamdukuzi hiyo siyo habari njema kwa sisi wakulima.
Mbezi Mwisho zile bei ni uhujumu uchumi wa wakazi wa maeneo yale.Kuna umuhimu wa watu kutembelea masoko badala ya kulia bei huku wanaonunua kwenye masoko kama mnazi mmoja na kule Masalia au mbezi mwisho kwa mabepari
USSR
Usilime nyanya na mazao mengine ya bustani kuanzia June mpaka oktoba,oktoba lima nyanyaKwa kweli nadhani wakulima wa nyanya wanalia huko waliko
soko la temeke unamaanisha TANDIKA au stereo?Niliambiwa na mzee mmoja kiwa soko la Buguruni na temeke ndio masoko yenye bidhaa zenye bei ndogo zaidi kwa Dar nzima,hii ni kutokana na jamii iliyomzunguka masoko hayo ni ya kimaskini hata karoti na hoho wanauza hadi nusu kwa hamsini
USSR
Soko la temeke ndo lipi tandika au stereo?Uko sahihi,soko la temeke ndio funga kazi,vitu bei chee sana
asee siku nmeenda mwanza nikikasirika. yan nlikua nasikia wanavosifia ooooh mwanza jiji la samaki na sato. mweeee sku nmeenda mwanza, ile kuulizia samak wa kukaangwa tena wa size ya kawaida tu eti wananambia elf 3. wakat samak huyo huyo dar nauziwa 1500.Soko Ilala,kisewe vitu Bei chee sanaaa..
Nilienda mwanza sikula SAMAKI Bei juu Sanaa bora kununua NYAMA Kama una familia hapo mwanza mzunguko wa pesa ni mdogo Sana.
Ila dar es salaam SAMAKI, KUKU Bei chee kilo 12,000 Ila mwanza pesa ni ngumu Sana na maisha yapo juu Sanaa
Dar pesa ipo nje nje Sanaa 😊 Ibarikiwe DAR ES SALAAM ☺️
mbez mwisho nako kuna maisha ya ajabu sana. sku moja nlikua natafuta unga wa mtama, sasa kwenda dukan naulizia wananambia kilo ya mtama ambao haujasagwa bei ni elf 3. nkaacha nkaenda bugurun nkakuta kilo ya unga wa mtama( yaan tayar ushasagwa) bei ni 1500 asee nlishangaa sana.Mbezi Mwisho zile bei ni uhujumu uchumi wa wakazi wa maeneo yale.
Kule vingine vinazidi bei ya Mbezi Beach.
Kabisa huo ndio ukweli hata nusu nyanya na nusu kitunguu ikumbukwe Buguruni ndio walianzisha kuuza utumbo, kichwa na miguu ya kuku bila kusahau ngongingo aka mkia wa kukuBuguruni inauzwa mpaka hoho nusu, yaani unaenda unakatiwa hoho nusu unaenda kuunga mboga
Wachagga wanapenda faida bila sababu ya msingi ,soko la mbezi mwisho ni soko la hovyo kuliko yote dunianisoko la temeke unamaanisha TANDIKA au stereo?
Soko la temeke ndo lipi tandika au stereo?
asee siku nmeenda mwanza nikikasirika. yan nlikua nasikia wanavosifia ooooh mwanza jiji la samaki na sato. mweeee sku nmeenda mwanza, ile kuulizia samak wa kukaangwa tena wa size ya kawaida tu eti wananambia elf 3. wakat samak huyo huyo dar nauziwa 1500.
mbez mwisho nako kuna maisha ya ajabu sana. sku moja nlikua natafuta unga wa mtama, sasa kwenda dukan naulizia wananambia kilo ya mtama ambao haujasagwa bei ni elf 3. nkaacha nkaenda bugurun nkakuta kilo ya unga wa mtama( yaan tayar ushasagwa) bei ni 1500 asee nlishangaa sana.
ila nlichogundua n kwamba, maeneo yenye wachaga wengi maisha huwa yanakua magumu sana by nature hata kimara napo pana maisha ya kiwaki sana. nmeishi moshi pia nako maisha magumu balaa.
Ndio kweli hata sijui liko wapi?Huijui soko ya Ilala wewe