Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Samaki wa aina ya Salmon hawezi kupatikana kwenye bahari yetu ya hindiAhsante! ila kuna huyu samaki anaitwa Salmon, kwenye mazingira ya kibongo anaitwaje, na anapatokanaje?
Babu wewe nijuavyo unapenda kula wali na Mchicha na Samaki wa kukaanga.............Kuku je unamla?Kwa kifupi ni kwamba tule kila kitu....
Maskini tutakoma mbona?
Babu wewe nijuavyo unapenda kula wali na Mchicha na Samaki wa kukaanga.............Kuku je unamla?
Babu wewe nijuavyo unapenda kula wali na Mchicha na Samaki wa kukaanga.............Kuku je unamla?
Wewe hujaona chips tu ? Kwani chips ni chakula chenye afya? chips ni chakula feki bonyeza hapa.https://www.jamiiforums.com/jf-doct...g-junk-food-facts-that-you-didn%92t-know.htmlSijaona chips hapo. Kuna demu anapenda chips huyoo akikosa 1500 ya chips kavu huwa ananunua viazi fungu 1 la 400 anamenya anapeleka kwa muuza chips anakaangiwa kwa sh 300.