Jskinondo
Member
- Jan 9, 2020
- 36
- 34
Hello JF
Leo nimeona ni busara tukapeana mawazo kwenye eneo la vyakula sababu ni msingi wa maisha na nina imani kwa wale ambao hawakwenda shule au walienda lakini hawakubahatika kusoma sayansi wana kitu cha kujifunza kupitia sisi.
Kwahiyo bila kupoteza muda,
mlo kamili hutengenezwa na vyakula hivi: protin, wanga, vitamini, madini, mafuta na maji.
Protini = nyama, mayai, samaki, maziwa maharage, kunde nk.
Wanga (carbohydrate) = mahindi, mihogo, ngano, ulezi, mtama, viazi, asali, miwa nk.
Vitamimi = Karoti, spinach, nyanya limao, chungwa, embe, ndizi nk
Mafuta = nazi, sunflower, karanga, korosho, mafuta ya samaki, mafuta ya nyama nk
Madini= phosphorus (mayai, samaki, maziwa) huimarisha mifupa, Chuma (maini, figo) hutengeneza haemoglobin, chlorine (chumvi) husaidia kutengeneza asidi ya tumbo nk
Maji = Uhai, maziwa, chungwa, uji nanasi, tikiti nk.
Vyakula tajwa hapo juu kila kimoja kina kazi yake mwilini, hivyo kama mlo wako una mchanganyiko wa kila aina ya chakula ndo umekula mlo kamili kinyume na hapo umekula tu chakula cha kawaida.
Katika orodha ya vyakula vinavyo-make up mlo kamili, yakula vya vitamini ndo huimarisha kinga ya mwili.
Kwahiyo hakikisha unatumia mboga za majani (zisiive sana), matunda kama chungwa au limao katika chakula yako.
#Too much or too little is harmful.
Sent using Jamii Forums mobile app