Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa.

Kabisa kabisa hivyo ndo vyakula vyangu, afu ukipata water melon (tikiti maji) basi lazima mwanamke akamue kilo 1 ya sperm si utani :violin:
 
Aisee mi soya ndo chakula yangu ya uji na karanga huwa nakula kila siku tangawizi ndo kinywaji changu mbona nina raha miye
 
Vyakula hivyo ni hatari kama mtu hafanyi mazoezi ya kujenga mwili kama vile kukimbia,pushup,na etc
 
tumezid kuongelea ngono/tendo la ndoa, tuongelee na mungu..

Sasa hapa sijui Mungu anaingiaje. Ila unaweza kuanzisha mada inayomhusisha Mungu hapa MMU! Otherwise people will just contribute according to the thread
 
Tumkumbuke na mungu jaman! khaaaaa

Mungu huyuhuyu alotuleta tuujaze ulimwengu? Au mwingine? Kama ni huyo basi wacha watu wajikarabati kuongeza hamu kwani watakua wanatekeleza maelekezo ya muumba wao!
 
Yaani unataka uongeze hamu zaidi ya hapo?
Toobah!

Afu Big X, mbona makande hayajaorodheshwa hapo?

We ongezea tu kwenye hiyo list, ila inabidi udadavue how!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…