Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa.

Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa.

Kabisa kabisa hivyo ndo vyakula vyangu, afu ukipata water melon (tikiti maji) basi lazima mwanamke akamue kilo 1 ya sperm si utani :violin:
 
Aisee mi soya ndo chakula yangu ya uji na karanga huwa nakula kila siku tangawizi ndo kinywaji changu mbona nina raha miye
 
Vyakula hivyo ni hatari kama mtu hafanyi mazoezi ya kujenga mwili kama vile kukimbia,pushup,na etc
 
tumezid kuongelea ngono/tendo la ndoa, tuongelee na mungu..

Sasa hapa sijui Mungu anaingiaje. Ila unaweza kuanzisha mada inayomhusisha Mungu hapa MMU! Otherwise people will just contribute according to the thread
 
Yaani unataka uongeze hamu zaidi ya hapo?
Toobah!

Afu Big X, mbona makande hayajaorodheshwa hapo?

We ongezea tu kwenye hiyo list, ila inabidi udadavue how!!
 
Back
Top Bottom