Vyakula vinavyoongeza manii (shahawa) ni vipi?

Vyakula vinavyoongeza manii (shahawa) ni vipi?

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Habarini wanachama!!

Ni vyakula gani vinavyoongeza Shahawa(Manii) Kwa mwanaume/mwanamke?

Nawasilisha.....!
 
ImageUploadedByJamiiForums1455249399.950127.jpg
 
Aisee mtoa mada ivi na mwanamke anatoa shahawa??
 
Kwaio mwanaume anatoa Shahawa/Manii na mwanamke maji.
Ndo kwa Mara ya kwanza ndo naipata hii.
ukiingia kwenye game na kama mtu wako yuko fit mkague wakati mnachetuana utaviona hivyo vtu vyote kama utakuwa ni mzoefu na unajua wapi pa kumfanya amwage na uone unachotaka kuona
 
Soya ile iliyokaangwa ya arusha ndiyo nzuri,unaweka kwenye chai ni balaa mwisho wa matatizo.Jamaa atakua anasimama masaa24,ukiwaza tuu papuchi wazungu wanatoka wenyewe
 
Back
Top Bottom