Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana

Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu/cholesterol) na vitamin B6 ambavyo vyote hukupa nguvu na nyege.

DUFbJD_WAAEIIWF.jpg


Chaza/Kilombwe (Oysters) ni mdudu wa baharini jamii ya kombe ambaye makazi yake ni kwenye miamba. Chaza huwa na Zinc, madini yanayosaidia mwili tukokeza testosterone homoni inayohusika kuendesha nyege kwa mwanamke na mwanaume.

DUFgC0pVQAA83L_.jpg


Urukususu/susi (Licorice) ni dawa ya kutibu kikohozi ambayo hutokana na mitishamba. Dawa hii huiga utendaji wa homoni za estrojeni na projesteroni ambazo huhusika na uzazi. Hivyo matumizi ya dawa hizi huongeza furaha na nyege.

DUFfZH8W4AAGA6a.jpg


Chokoleti imehusishwa kwa muda mrefu na upendo & tendo la ndoa. Chokoleti ina tryptophan inayosaidia utengenezaji wa serotonin, kemikali inayofanya kazi kuongeza msisimko.

chocolate_625x350_81434346507.jpg


Pilipili za Chile haitoi tu ladha nzuri mdomoni bali pia ina capsaicin kemikali inayochochea kutolea kwa endorphins kwenye ubongo inayomfanya mtu kujisikia vizuri. Mtu akiwa na furaha anaweza kufanya tendo la ndoa kwa mafanikio makubwa.

DUFe0ngWAAAJn6H.jpg


Asparaga (Asparagus) ni ana fulani ya maboga yenye vitamin B6, B9 na asidi ya foliki ambavyo huchochea msisimko na kufikia kilele cha kujamiana (mshindo). Pia asparaga husaidia Vitamini E kuchochea homoni za ngono kwa wanaume na wanawake.

DUFXf4mW4AEEl4D.jpg





Tiba Fasta
 
Back
Top Bottom