Vyakula vinavyosababisha kitambi

Vyakula vinavyosababisha kitambi

Kula vyakula vyote vinavyotokana na nafaka yaani wanga kwa wingi. Kwa kifupi kula mawali-wali na maugali asubuhi, mchana,jioni na usiku non stop.
Siku ukionyesha undugai kitandani kwasababu ya kitambi urudi tena hapa nitakupa maelekezo ya kukitoa kitambi hicho kwa muda mfupi sana hadi usingiziwe una ngoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya kama ulivyonieleza npo kwenye matazamio
 
Mzee baba ikifika ijumaa kakae samaki samaki kula bia zako nne then kesho kula supu then kula bia tena jumapili kula supu alafu malizia na bia nne, hii ratiba iwe endelevu, next weekend nenda nayo ivyo ivyo bia nyama supu, yan mwez mmoja utakuwa ushafanya mazoezi ya kuapata kitambi, ila sasa ukishakipata kukitoa ndio shida sasa
 
Kula mapera kwa wingi...ukiskia kiu kunywa soda Ucnywe MAJI hakikisha hupati choo kwa siku mbili mpk 3 mfululizo na ratiba ya kula iwe pale pale..utaleta mrejesho hapa!! Hiki kitambi ninachokushauri kinapatikana ndani ya siku 3 Nakupa na Warranty kbsa ukitaka...
 
Kula chakula unachopenda ushushie na soda au bia ukimaliza kaangalie Sultan kwenye luninga
 
Kibongo bongo ni symbol ya mafanikio hata ukivaa suti ukiingia ofisi flani unapewa huduma fasta ni alafu ya ukuu flani ila kwa wenzetu ulaya ni tofauti ni suala la culture mkuu
Sure kitambi kinaleta heshima
 
Back
Top Bottom