Asante Mkuu ila kumbuka siku hizi Tanzania kuna mbegu za GMO kwa mfano kuna utafiti unaonesha huko Iringa kunakozalishwa nyanya, vitunguu na mazao mengine ya chakula kunatumika mbegu za GMO. So I don't think hata hizi unazoita anti - cancer food if can be that much effective. GMO zina madhara makubwa sana kiafya, that's proven
Mkuu Chocs Namba 1 ni Soda hizo za Cocacola, namba 2 ni chips zinazo uzwa mitaani,namba 3 jamii kama keki zenye sukari nyingi, namba 4 nyama ya kusaga ya kutengenezwa viwandani na namba 5 ni nyama za kuchoma nyama ya Ng'ombe upo pamoja na mimi bibie?
Jamani jamani hivyo ni vyakula au vinywaji vinavyo kuweka karibu na uwezekano wa kupata Saratani..(Risk factor).....Unaweza ukatumia hivyo vyakula ukapata Saratani na pia unaweza ukatumia pia usipate......Sasa mkuu Mzizimkavu unakuwa hujatendea haki unapo vi-group hivyo vyakula kama Causative Agents za kansa.......Please mkuu kitaalamu huwa hatusemi hivyo bana...
Kuna mtu abaweza akawa hatumii kabisa hivyo vyakula na life style yake ikawa ni njema kabisa but still akapa Carcinoma......
Kwa mfano ukasema Sigara inasababisha Lung Cancer....Ni kitu ambacho huna uhakika nacho maana naweza nikakupa mfano mdogo wa mwanamuziki nguli Bi Kidude ambaye ameanza kuvuta sigara tangu akiwa na umri mdogo lakini mpaka nakufa hajawahi kupata Lung Cancer.....Sasa hapo how can you explain mkuu.....?
Vivo hivyo mtu anaweza akavuta hiyo sigara kwa miaka miwili au asivute kabisa na bado akapata Kansa....Sasa na hapo utaelezeaje mkuu.....?
Ndo maana kama mtaalamu ni bora ukatumia the word 'Risk factors' which increases ones own chances of getting the disease.......Cancer ni devastating disease sometimes with unknown etiology....It can happen anytime, anyplace so long as cell are getting mutated....It doesnt depend wether you are doing exercise every day, eating well balance diet with alot of fruits.....Kama itakuja itakuja tuu...Lakini pia sio kigezo cha kutokufua kanuni bora za maisha kwa maana pia ukifuata kanuni bora za maisha zinapunguza Risk za Wewe kupata canser.....
Mkuu hayo ni maoni yangu anyway....
naama, twajipasa kuangalia sana makulaji yetu, utafiti wakumbuka haipiti wiki bila kupata kiepe na mbuzi choma!
Kama Hizo Mbegu za (GMO) zinatumika kwa wakulima Wananchi wengi watakuwa WanaumwaAsante Mkuu ila kumbuka siku hizi Tanzania kuna mbegu za GMO kwa mfano kuna utafiti unaonesha huko Iringa kunakozalishwa nyanya, vitunguu na mazao mengine ya chakula kunatumika mbegu za GMO. So I don't think hata hizi unazoita anti - cancer food if can be that much effective. GMO zina madhara makubwa sana kiafya, that's proven
Mkuu tedo ninakungojea upate Maradhi ya Kensa (Cancer) au Maradhi Moyo au Maradhi Kisukari unitafute nikupatie Dawa kwa sababu unabisha kitu kipo wazi mbele ya macho yako sijuwi kwa sababu ya ufahamu wa akili yako au kuna kitu unaficha ndani yake ukweli wa mambo? Wazungu wenyewe wanapinga Kutumia hivyo vyakula Feki vya Kutengeneza wewe unaunga Mkono au wewe ni mtu wa Serikalini?Jamani jamani hivyo ni vyakula au vinywaji vinavyo kuweka karibu na uwezekano wa kupata Saratani..(Risk factor).....Unaweza ukatumia hivyo vyakula ukapata Saratani na pia unaweza ukatumia pia usipate......Sasa mkuu Mzizimkavu unakuwa hujatendea haki unapo vi-group hivyo vyakula kama Causative Agents za kansa.......Please mkuu kitaalamu huwa hatusemi hivyo bana...