Vyakula vya aina 5 vinavyosababisha ugonjwa wa saratani

Vyakula vya aina 5 vinavyosababisha ugonjwa wa saratani

1001409_205038572995621_1938534443_n.jpg
Asante Mkuu ila kumbuka siku hizi Tanzania kuna mbegu za GMO kwa mfano kuna utafiti unaonesha huko Iringa kunakozalishwa nyanya, vitunguu na mazao mengine ya chakula kunatumika mbegu za GMO. So I don't think hata hizi unazoita anti - cancer food if can be that much effective. GMO zina madhara makubwa sana kiafya, that's proven
 
Mkuu Chocs Namba 1 ni Soda hizo za Cocacola, namba 2 ni chips zinazo uzwa mitaani,namba 3 jamii kama keki zenye sukari nyingi, namba 4 nyama ya kusaga ya kutengenezwa viwandani na namba 5 ni nyama za kuchoma nyama ya Ng'ombe upo pamoja na mimi bibie?

Mzizi mkavu hapo vipi je
 

Attachments

  • 1396326823265.jpg
    1396326823265.jpg
    67 KB · Views: 514
Last edited by a moderator:
naama, twajipasa kuangalia sana makulaji yetu, utafiti wakumbuka haipiti wiki bila kupata kiepe na mbuzi choma!
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani hivyo ni vyakula au vinywaji vinavyo kuweka karibu na uwezekano wa kupata Saratani..(Risk factor).....Unaweza ukatumia hivyo vyakula ukapata Saratani na pia unaweza ukatumia pia usipate......Sasa mkuu Mzizimkavu unakuwa hujatendea haki unapo vi-group hivyo vyakula kama Causative Agents za kansa.......Please mkuu kitaalamu huwa hatusemi hivyo bana...

Kuna mtu abaweza akawa hatumii kabisa hivyo vyakula na life style yake ikawa ni njema kabisa but still akapa Carcinoma......

Kwa mfano ukasema Sigara inasababisha Lung Cancer....Ni kitu ambacho huna uhakika nacho maana naweza nikakupa mfano mdogo wa mwanamuziki nguli Bi Kidude ambaye ameanza kuvuta sigara tangu akiwa na umri mdogo lakini mpaka nakufa hajawahi kupata Lung Cancer.....Sasa hapo how can you explain mkuu.....?

Vivo hivyo mtu anaweza akavuta hiyo sigara kwa miaka miwili au asivute kabisa na bado akapata Kansa....Sasa na hapo utaelezeaje mkuu.....?

Ndo maana kama mtaalamu ni bora ukatumia the word 'Risk factors' which increases ones own chances of getting the disease.......Cancer ni devastating disease sometimes with unknown etiology....It can happen anytime, anyplace so long as cell are getting mutated....It doesnt depend wether you are doing exercise every day, eating well balance diet with alot of fruits.....Kama itakuja itakuja tuu...Lakini pia sio kigezo cha kutokufua kanuni bora za maisha kwa maana pia ukifuata kanuni bora za maisha zinapunguza Risk za Wewe kupata canser.....

Mkuu hayo ni maoni yangu anyway....

Very true maana huu ugonjwa naona km hauna formula maalum on their occurance but ni muhim sn kujua those risk factors that might cause cancer disease ili kujihami na cancer
 
naama, twajipasa kuangalia sana makulaji yetu, utafiti wakumbuka haipiti wiki bila kupata kiepe na mbuzi choma!

Kaka umenipatia sana. Tena wiki mbili ni kama umenipendelea kwakweli, mimi ata siku mbili hazipiti bila kiepe, sinunajua maisha haya yau-single?
 
Last edited by a moderator:
Asante Mkuu ila kumbuka siku hizi Tanzania kuna mbegu za GMO kwa mfano kuna utafiti unaonesha huko Iringa kunakozalishwa nyanya, vitunguu na mazao mengine ya chakula kunatumika mbegu za GMO. So I don't think hata hizi unazoita anti - cancer food if can be that much effective. GMO zina madhara makubwa sana kiafya, that's proven
Kama Hizo Mbegu za (GMO) zinatumika kwa wakulima Wananchi wengi watakuwa Wanaumwa

Maradhi Kensa ya figo Maradhi ya Kisukari na maradhi ya Presha na uvimbe vimbe wa ajabu mwilini baada ya miaka 10 ijayo

karibu asilimia 90 ya Wa-Tanzania watakuwa ni wagonjwa wa hayo maradhi na Taifa litakuwa na Mzigo Mkubwa kuwa

tibu Wananchi haswa walala hoi ikiwe Serikali Sikivu ya Mheshmiwa Rais kikwete itapuuza kuenea kwa Mbegu Feki za

(GMO) itakuwa ni hatari kubwa sana kwa Taifa litakuwa limepatwa na janga kubwa sana. Huko Kwetu kuna Wizara Ya

Afya na pamoja na Waziri wake wa Afya sijuwi hili suala wanalichukulia kivipi? Au ndio wameshalipwa Mabillioni ya

Mapesa ya Kimarekani Ma(Dollar) Viongozi wa nchi yetu wameyafumbia macho madhara makubwa yanayokuja siku za mbele? Kazi

kweli nchi yetu haina Viongozi imara.
 
6 Negative Side Affects To Eating Genetically Modified Foods


Genetically modified organisms also known as (GMO's) can be found in as many as 60-70% of the foods in the US.
As we have written about in the past dangers of GMO's, a genetically modified organism according to The Non-GMO Project are organisms that have been created through the gene-splicing techniques of biotechnology (also called genetic engineering, or GE).
This relatively new science allows DNA from one species to be injected into another species in a lab, creating combination's of plant, animal, bacteria, and viral genes that do not occur in nature or through traditional crossbreeding methods. The use of genetically modified organisms in foods was recently banned in Europe, but the US isn't to that point yet due to the highly political nature of what is keeping GMO's on the market and in our food.
Here are six of the dangers that have been discovered by consuming genetically modified foods…
1. Food Allergy Symptoms Increase Dramatically


gmo1.jpg
According to scientific research, it has been shown that those who eat genetically modified foods tend to see an increase in their allergic reactions to the types of foods they are already allergic too. By eating these genitically modified foods people also form allergies to foods which they were never allergic to before.


2. Bodily Toxicity Increases

gmo2.jpg
As individuals ingest more and more genetically modified foods and organisms into their body it has been shown that the bodies toxicity increases which leads to a ton of other potentially serious health problems. As stated by NaturalNews.com it has been shown that there is a definite link between Obesity, Cancer and Toxicity.


3. Negative Reproductive Effects

gmo3.jpg
In lab tests done on animals there were cases where once the animals ingested genetically modified food they became completely sterile in a matter of weeks. What was interesting in fact was that in some cases these animals were force fed the food because they didn't want to eat it themselves naturally.

4. Negative Effects To Digestive System

gmo4.jpg
They are finding that GMO's are a breeding ground for bacteria and virus's and since the digestive system is where the body is exposed when ingesting these harmful foods, reversing the damaging effects of these foods is nearly impossible. In other cases on mice and rats, there is documented proof that the digestive system grows bigger for some strange reason.


5. Unknown Genetic Effects On Humans

gmo5.jpg
The jury is still out on all of the known causes about how Genetically Modified Organisms will negatively affect the greater human race, so it would be best to avoid them at all costs knowing the long term health risks of ingesting these foods on a regular basis.

6. Death

gmo6.jpg
In some cases death has also been a challenge in working with GMO foods where rats and mice die in a matter of weeks by eating genetically modified food.
As everything adds up over time, and the more these genetically modified foods are pushed on us as Americans, knowing the dangers going in and actively speaking out against it may save more lives now and in the future.
foods/
 
Jamani jamani hivyo ni vyakula au vinywaji vinavyo kuweka karibu na uwezekano wa kupata Saratani..(Risk factor).....Unaweza ukatumia hivyo vyakula ukapata Saratani na pia unaweza ukatumia pia usipate......Sasa mkuu Mzizimkavu unakuwa hujatendea haki unapo vi-group hivyo vyakula kama Causative Agents za kansa.......Please mkuu kitaalamu huwa hatusemi hivyo bana...

Kuna mtu abaweza akawa hatumii kabisa hivyo vyakula na life style yake ikawa ni njema kabisa but still akapa Carcinoma......

Kwa mfano ukasema Sigara inasababisha Lung Cancer....Ni kitu ambacho huna uhakika nacho maana naweza nikakupa mfano mdogo wa mwanamuziki nguli Bi Kidude ambaye ameanza kuvuta sigara tangu akiwa na umri mdogo lakini mpaka nakufa hajawahi kupata Lung Cancer.....Sasa hapo how can you explain mkuu.....?

Vivo hivyo mtu anaweza akavuta hiyo sigara kwa miaka miwili au asivute kabisa na bado akapata Kansa....Sasa na hapo utaelezeaje mkuu.....?

Ndo maana kama mtaalamu ni bora ukatumia the word 'Risk factors' which increases ones own chances of getting the disease.......Cancer ni devastating disease sometimes with unknown etiology....It can happen anytime, anyplace so long as cell are getting mutated....It doesnt depend wether you are doing exercise every day, eating well balance diet with alot of fruits.....Kama itakuja itakuja tuu...Lakini pia sio kigezo cha kutokufua kanuni bora za maisha kwa maana pia ukifuata kanuni bora za maisha zinapunguza Risk za Wewe kupata canser.....

Mkuu hayo ni maoni yangu anyway....
Mkuu tedo ninakungojea upate Maradhi ya Kensa (Cancer) au Maradhi Moyo au Maradhi Kisukari unitafute nikupatie Dawa kwa sababu unabisha kitu kipo wazi mbele ya macho yako sijuwi kwa sababu ya ufahamu wa akili yako au kuna kitu unaficha ndani yake ukweli wa mambo? Wazungu wenyewe wanapinga Kutumia hivyo vyakula Feki vya Kutengeneza wewe unaunga Mkono au wewe ni mtu wa Serikalini?


[TABLE="width: 750"]
[TR]
[TD="width: 165"]
Rat-Tumor-Monsanto-GMO-Cancer-Study-2.jpg
[/TD]
[TD="width: 585"]Shock findings in new GMO study: Rats fed lifetime of GM corn grow horrifying tumors, 70% of females die early
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

(NaturalNews) Eating genetically modified corn (GM corn) and consuming trace levels of Monsanto's Roundup chemical fertilizer caused rats to develop horrifying tumors, widespread organ damage, and premature death. That's the conclusion of a shocking new study that looked at the long-term effects of consuming Monsanto's genetically modified corn.

The study has been deemed "the most thorough research ever published into the health effects of GM food crops and the herbicide Roundup on rats." News of the horrifying findings is spreading like wildfire across the internet, with even the mainstream media seemingly in shock over the photos of rats with multiple grotesque tumors... tumors so large the rats even had difficulty breathing in some cases.GMOs may be the new thalidomide.

"Monsanto Roundup weedkiller and GM maize implicated in 'shocking' new cancer study" wrote The Grocery, a popular UK publication. (http://www.thegrocer.co.uk/topics/technology...)

It reported, "Scientists found that rats exposed to even the smallest amounts, developed mammary tumors and severe liver and kidney damage as early as four months in males, and seven months for females."

The Daily Mail reported, "Fresh row over GM foods as French study claims rats fed the controversial crops suffered tumors." (http://www.dailymail.co.uk/sciencetech/artic...)

It goes on to say: "The animals on the GM diet suffered mammary tumors, as well as severe liver and kidney damage. The researchers said 50 percent of males and 70 percent of females died prematurely, compared with only 30 percent and 20 percent in the control group."

Rat-Tumor-Monsanto-GMO-Cancer-Study-3-Wide.jpg


The study, led by Gilles-Eric Seralini of the University of Caen, was the first ever study to examine the long-term (lifetime) effects of eating GMOs. You may find yourself thinking it is absolutely astonishing that no such studies were ever conducted before GM corn was approved for widespread use by the USDA and FDA, but such is the power of corporate lobbying and corporate greed.

The study was published in The Food & Chemical Toxicology Journal and was just presented at a news conference in London.

Rat-Tumor-Monsanto-GMO-Cancer-Study-225-v1.jpg
Findings from the study

Here are some of the shocking findings from the study:

• Up to 50% of males and 70% of females suffered premature death.

• Rats that drank trace amounts of Roundup (at levels legally allowed in the water supply) had a 200% to 300% increase in large tumors.

• Rats fed GM corn and traces of Roundup suffered severeorgan damage including liver damage and kidney damage.

• The study fed these rats NK603, the Monsanto variety of GM corn that's grown across North America and widely fed to animals and humans. This is the same corn that's in your corn-based breakfast cereal, corn tortillas and corn snack chips.

The Daily Mail is reporting on some of the reaction to the findings:

France's Jose Bove, vice-chairman of the European Parliament's commission for agriculture and known as a fierce opponent of GM, called for an immediate suspension of all EU cultivation and import authorisations of GM crops. 'This study finally shows we are right and that it is urgent to quickly review all GMO evaluation processes,' he said in a statement. 'National and European food security agencies must carry out new studies financed by public funding to guarantee healthy food for European consumers.'(http://www.dailymail.co.uk/sciencetech/artic...)

Read the study abstract

The study is entitled, "A Comparison of the Effects of Three GM Corn Varieties on Mammalian Health." Read the abstract here:
A Comparison of the Effects of Three GM Corn Varieties on Mammalian Health

That abstract include this text. Note: "hepatorenal toxicity" means toxic to the liver.

Our analysis clearly reveals for the 3 GMOs new side effects linked with GM maize consumption, which were sex- and often dose-dependent. Effects were mostly associated with the kidney and liver, the dietary detoxifying organs, although different between the 3 GMOs. Other effects were also noticed in the heart, adrenal glands, spleen and haematopoietic system. We conclude that these data highlight signs of hepatorenal toxicity, possibly due to the new pesticides specific to each GM corn. In addition, unintended direct or indirect metabolic consequences of the genetic modification cannot be excluded.

Here are some quotes from the researchers:

"This research shows an extraordinary number of tumors developing earlier and more aggressively - particularly in female animals. I am shocked by the extreme negative health impacts." - Dr Michael Antoniou, molecular biologist, King's College London.

"We can expect that the consumption of GM maize and the herbicide Roundup, impacts seriously on human health." - Dr Antoniou.

"This is the first time that a long-term animal feeding trial has examined the impact of feeding GM corn or the herbicide Roundup, or a combination of both and the results are extremely serious. In the malerats, there was liver and kidney disorders, including tumors and even more worryingly, in the female rats, there were mammary tumors at a level which is extremely concerning; up to 80 percent of the female rats had mammary tumors by the end of the trial." - Patrick Holden, Director, Sustainable Food Trust.

Spread the word: GMOs are toxic!

Share this story. Tweet it, Facebook it, post it.

See the "What is a GMO" video by Nutiva:
http://www.youtube.com/user/nutiva?feature=w...

Watch the new video on GMOs by Jeffrey Smith:
http://www.geneticroulettemovie.com

Watch the Health Ranger's music video:
GMOs news, articles and information:

Support Proposition 37:
www.CArighttoknow.org

Shock findings in new GMO study: Rats fed lifetime of GM corn grow horrifying tumors, 70% of females die early
 
Last edited by a moderator:
nasikia sasa hivi kuna kuku wa kisasa wanakuzwa kwa wiki tatu tu na kuanza kuuzwa mahotelini na majumbani

pia kuna kuku wanataga zaidi ya mara tatu kwa siku moja

TUNAELEKEA WAPI?

HUU NI MKAKATI WA WAZUNGU KUTUTENGENEZA MAGONJWA MENGI ILI TUSIZALISHE MALI ILA TUWE TUNAKWENDA HOSPITALI MARA KWA MARA
 
Back
Top Bottom