Vyakula vya kichina!

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,478
Vyakula vya kichina



Chura





Panzi






Curry ya Mende!!!



Mchwa waliyo kaushwa (Sungusungu)!!!




Inge waliyo kangwa (Roasted)!!!




Aina saba za wadudu waliyo kangwa!!!




Achali ya mayai ya sungusungu!!





Nyama ya nyoka!!!





Steak ya nyoka




Mjusi mix na mboga!!






Aina mbali mbali za nyama ya Inge!!


Shukran Wa baarakallahu fiikum na salaam nyingi kutoka kwangu
 
ndio vyakula vyao yani ni kama kabila flani wanavyokula chamaki nchanga na konokono full shangwe:becky:
 
Mhh!!! hata njaa inaweza kutoweka hapohapo.
 
Ila hao nyoka hapana bwana!!!
 
nahic cku nikipata safari ya huko nitakuwa nakunywa maji tu kama mambo yenyewe ndio haya.
 
Mkuu Mahmoud,
Angalia hizo picha vizuri,hizo products ni za Thailand,sio China.


NEW COURMET THAI FROG MEAL(THAI=From Thailand)


7 popular edible insects from Thailand

Anyway, just to make correction,but umenisaidia kujua kumbe hawa jamaa ni ndugu moja.Wachina wanweza kuwa noma zaidi maana nilisikia pet lovers wali protest Beijing kwa sababu somewhere in Guangdong province(southern part of China) walikuwa wanagonga supu za paka na mbwa.

Eid Mubaarak
 
nahic cku nikipata safari ya huko nitakuwa nakunywa maji tu kama mambo yenyewe ndio haya.

Hehe~,sio kivile Nyamayao.
Inategemea utaenda mji gani.Miji niliyotembelea mimi kama GuangZhou(commercial city),ShangHai,HangZhou,BeiJing ..niliweza kupata Arabic tastes,Pakistan...pia kuna Muslim restaurants nyingi tu zinazomilikwa na muslim minority in China,very delicious....GuangZhou pia waweza pata African food restaurants..hawana hizo maneno hapo juu na wala sijawahi ona zilizopikwa bali niliona live snake -like fish,chura,kobe n.k wakiuzwa supermarket.

Na niliongea na dada mmoja wa kichina kuhusu hii mi vyakula,akawa ananishangaa kwa nini mbwa asiliwe while beef,mutton etc are edible wakati wote ni wanyama tu....dah,,basi nilichoka.

Kwa hiyo usihofu,utapata tu misosi safi.....vegs,rice,noodles,chicken,fish etc..ukishindwa kabisa basi hata mikate utakula kwa soda,maziwa,chai.
 
Hivi vyakula ni balaa, ukiwa huko unaweza kula kinyesi cha binadamu bila kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…