nahic cku nikipata safari ya huko nitakuwa nakunywa maji tu kama mambo yenyewe ndio haya.
Hehe~,sio kivile Nyamayao.
Inategemea utaenda mji gani.Miji niliyotembelea mimi kama GuangZhou(commercial city),ShangHai,HangZhou,BeiJing ..niliweza kupata Arabic tastes,Pakistan...pia kuna Muslim restaurants nyingi tu zinazomilikwa na muslim minority in China,very delicious....GuangZhou pia waweza pata African food restaurants..hawana hizo maneno hapo juu na wala sijawahi ona zilizopikwa bali niliona live snake -like fish,chura,kobe n.k wakiuzwa supermarket.
Na niliongea na dada mmoja wa kichina kuhusu hii mi vyakula,akawa ananishangaa kwa nini mbwa asiliwe while beef,mutton etc are edible wakati wote ni wanyama tu....dah,,basi nilichoka.
Kwa hiyo usihofu,utapata tu misosi safi.....vegs,rice,noodles,chicken,fish etc..ukishindwa kabisa basi hata mikate utakula kwa soda,maziwa,chai.