Vyakula vya kienyeji

Vyakula vya kienyeji

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
18,611
Reaction score
27,615
Wakuu,

Kwa hapa Dar es Salaam ni hoteli ipi au mgahawa upi naweza kupata vyakula vya kienyeji vya asili ya mikoa ya kanda ya kati, magharibi na ziwa?. Jasiri haachi asili.
 
MADEATHOME kwa mwenyeji wako na ukiwa ulikuja na ingredients. Hapo ukikosa basi ndio hamna tena labda urudi kwenu
 
Back
Top Bottom