Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Ndo nini?Michembez
Ndo nini?
Kwa kikwetu tunaita amapalage yaani nivile viazi vtamu vilivyokaushwa kiasili na wasukuma ndiyo wanatengeneza hiki chakula, kule kijijini kwetu hasa kipindi cha masika hiki ndiyo chakula ambacho mnashindia. Pia wasukuma hutumia kuwalipa watu wanaoenda kufanya vibarua kwao kama vile wanao palilia mashamba yao, kwakifupi hiki chakula kinatumika sana kipindi cha palizi.
Chapati sio Kitanzania ni Kihindi.chapati
Chapati tumechukua kwa mhindiHizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Umentia hamu😔
Aisee!Umentia hamu😔
😋Umentia hamu😔
Asante kwa utuwekea "enumbu" yaonekana una uzoefu na wasafwa wa Mbeya. Maana kwenye numbu hawakamatikiHizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Chapati kihindi, kachumbari kwa kiingereza inaitwa Salad.Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'