Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Hapok kwenye Chapati vipi mkuu?
 
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'
Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "enumbu", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Kichuli
 
Kwa kikwetu tunaita amapalage yaani nivile viazi vtamu vilivyokaushwa kiasili na wasukuma ndiyo wanatengeneza hiki chakula, kule kijijini kwetu hasa kipindi cha masika hiki ndiyo chakula ambacho mnashindia. Pia wasukuma hutumia kuwalipa watu wanaoenda kufanya vibarua kwao kama vile wanao palilia mashamba yao, kwakifupi hiki chakula kinatumika sana kipindi cha palizi.
Mapalage, Michembe na matobholwa vyote vinatokana na viazi.

Mapalage au michembe vinatokana na viazi vibichi.

Matobholwa inatokana na viazi vilivyopikwa.

Ni chakula cha asili cha wasukuma na wadakama na kiasi kidogo wanyamwezi.
 
Vitumbua = rice pancakes (common in East Africa sio Tanzania tu).

Chapati = flat bread au palatha/palata

Makange = steamed meat

Kachumbari = salad

Ugali = stiff porridge

Mtori = banana soup

Africa nzima wanakula ugali na kila sehemu unajina lake; Zimbabwe wanaita ā€˜Tsaza’, west africa nchi nyingi wanaita ā€˜Fu-fu’, na majina mengine kibao.

Hata hivyo vyakula vya kikabila vitakuwa vinamajina mtu akiambiwa ā€˜recipe’.
Sadza, Pap, Sima/nsima, Banku etc
 
Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania'

Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k.

EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
Kisusio ndio kinini?
 
We kwenu Oumurushaka?
 
Back
Top Bottom