Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

Inasemekana hapo awali chapati zililetwa na wahindi. Watu wakiwa na sherehe,wanaiga kutengeneza. Ndo ikaitwa kitu cha party(pati). Wakaamua ibatizwe hivo hivo. Kwa hiyo si nswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…