Mlikua mnapata trade Surplus hadi 2014, Magufuli alipoingia madarakani 2015, moto ukaanza kuwaka, kwa taarifa yako, sababu ya hiyo trade deficit ya mwaka jana ambayo ni $41M, ni kwasababu ya kuuza zaidi katika nchi ya Msumbiji, Zimbabwe na Malawi ambazo bado hazijaanza kujitosheleza kwa Chakula kufuatia kimbunga kilichowapata.
Ninakuhakikishia mwaka huu 2019/2020, surplus itakua zaidi ya $100M,Tutawauzia chakula kingi kwasababu hao Uganda mnaowategemea mwaka huu pia wana upungufu mkubwa wa Chakula.